Irish Times - Tanzania Inahatarisha Dunia

Tatizo la Bongo Ni mfumo mpya ulioanzishwa wa One man show na notion kuwa the boss is always right
Sio mfumo mpya. Uliasisiwa muda mfupi baada ya uhuru. Muasisi wake alipotoka madarakani alitaka ubadilishwe lakini warithi wake waligundua ndiyo kete pekee ya kuwezesha chama na makundi yao kuwa madarakani milele na kujichotea rasilimali za taifa bila vikwazo. Hivyo hawana mpango kabisa kubadilisha vipengele vinavyompa Rais madaraka yote.

Leo hii Taifa linategemea utashi na huruma ya mtu mmoja. Waliotangulia walikuwa wakiona haya kidogo kukandamiza sheria na taratibu hasa kuhusu maslahi ya wananchi. Huyu aliyeko leo anaitumia "one man show" kikamilifu bila haya ndio maana watu wanaifeel kwelikweli. Ni dhahiri atakayetaka kubadili mfumo ajiandae kwa vita mbaya.
 
Sisi tulishaamua haturudi nyuma!!

Katika kuamua kwetu kunawale ambao ni Watanzania Kwa nje, Ila Kwa ndani ni mabeberu, tutawalazimisha kuelekea mwelekeo wa Watanzania halisi yaani nje ndani ni Watanzania

Na tutakuwa wa Kwanza kuishinda hiyo biashara Yao ya mauwaji dhidi ya watu

Tulianza na Mungu na tutamaliza na Mungu na hatutarudi nyuma ng'o!! Anayegeuka kuwa mawe na ageuke Ila tutamsaidia kumvusha
Mmeqmua na nani?😀😀
 
2393187_20200508_170418.jpg
 
Kila nchi ipambane kinamna yake ktk kujiponya mbona hawaisemi urusi iliyokataa chanjo za WHO kutoka nchi zingine na wakaamua kutengeneza chanjo zao kwa watu wa nchi yao?

Kujifukiza ni chanjo yetu tuliyoamua sisi kuitumia so tusipangiane matumizi ya nini tufanye.

Kwa uwezo wakufikiria tu kwa akili ndogo kama hiyo covid-19 ingelikuwa ni tishio kwetu hebu fikirini hawa watoto wetu wa shule za msingi na secondary wangekufaje? Maana hawajui na hawana elimu yakujikinga na maambukizi haya hakuna lockdown hakuna kuvaa barakoa kwa watoto wetu wala ktk shule zao hakuna sanitizer wala maji bomba ktk shule nyingi za serikali.

Tunakila sababu kumshukuru mungu kwa hatua tuliyoifikia na kumuomba mungu atuepushe na hili.

Kuna wajinga wanaokoment humu upumbavu wakuwashadadia mabeberu kila wanayoyasema ilihali usafiri anaoutumia kilasiku ni wa daladala na sibure barakoa avai ana mke mfanya biashara au mfanya kazi anaetumia usafiri huohuo wa daladala ana watoto kibao wanaosoma St Kayumba na kilasiku wanaenda shule nakurudi na kucheza na wenzake kilasiku ya Mungu.

Je usalama kwako upowapi hapo kama hiyo corona ipo kama munavyotangaziwa na mabeberu wa nje ni nani ambae angeweza kupona kwa chain hiyo jinsi ilivyo.
 
Kila nchi ipambane kinamna yake ktk kujiponya mbona hawaisemi urusi iliyokataa chanjo za WHO kutoka nchi zingine na wakaamua kutengeneza chanjo zao kwa watu wa nchi yao?
Kujifukiza ni chanjo yetu tuliyoamua sisi kuitumia so tusipangiane matumizi ya nini tufanye.
Kwa uwezo wakufikiria tu kwa akili ndogo kama hiyo covid-19 ingelikuwa ni tishio kwetu hebu fikirini hawa watoto wetu wa shule za msingi na secondary wangekufaje? Maana hawajui na hawana elimu yakujikinga na maambukizi haya hakuna lockdown hakuna kuvaa barakoa kwa watoto wetu wala ktk shule zao hakuna sanitizer wala maji bomba ktk shule nyingi za serikali.
Tunakila sababu kumshukuru mungu kwa hatua tuliyoifikia na kumuomba mungu atuepushe na hili.
Kuna wajinga wanaokoment humu upumbavu wakuwashadadia mabeberu kila wanayoyasema ilihali usafiri anaoutumia kilasiku ni wa daladala na sibure barakoa avai ana mke mfanya biashara au mfanya kazi anaetumia usafiri huohuo wa daladala ana watoto kibao wanaosoma St Kayumba na kilasiku wanaenda shule nakurudi na kucheza na wenzake kilasiku ya mungu.

Hatua ipi mliyofikia ? kwan mmefanya nin kuzuia corona zaidi ya kuiacha tuu.
 
Hawa chama cha madaktari ni takataka kabisa. watu wao yaan madaktari na manesi na wauguzi wapo kwene hatari kubwa ya maambukizi huko kwene vituo vya afya hlf wao wanapiga politika.
 
Marekani ina vifo 500,000 na bado idadi inaendelea wao hawahatarishi dunia ila tz.

Hawa watu akili zao na za hawa washabiki wao wa hapa kwetu ukijumlisha na yule mbelgiji akili zao zipo kwenye visigino
Ficha ujinga wako! Umeshaambiwa sisi hatupimi na hivyo hatujui ukubwa wa tatizo tulilo nalo.
Kingine soon Dunia itatutenga kabisa! najua haya maneno huyajui "mutant" na " variant" ndio maana ni ngumu sana kukuelewesha!
 
Kila nchi ipambane kinamna yake ktk kujiponya mbona hawaisemi urusi iliyokataa chanjo za WHO kutoka nchi zingine na wakaamua kutengeneza chanjo zao kwa watu wa nchi yao?
Kujifukiza ni chanjo yetu tuliyoamua sisi kuitumia so tusipangiane matumizi ya nini tufanye.
Kwa uwezo wakufikiria tu kwa akili ndogo kama hiyo covid-19 ingelikuwa ni tishio kwetu hebu fikirini hawa watoto wetu wa shule za msingi na secondary wangekufaje? Maana hawajui na hawana elimu yakujikinga na maambukizi haya hakuna lockdown hakuna kuvaa barakoa kwa watoto wetu wala ktk shule zao hakuna sanitizer wala maji bomba ktk shule nyingi za serikali.
Tunakila sababu kumshukuru mungu kwa hatua tuliyoifikia na kumuomba mungu atuepushe na hili.
Kuna wajinga wanaokoment humu upumbavu wakuwashadadia mabeberu kila wanayoyasema ilihali usafiri anaoutumia kilasiku ni wa daladala na sibure barakoa avai ana mke mfanya biashara au mfanya kazi anaetumia usafiri huohuo wa daladala ana watoto kibao wanaosoma St Kayumba na kilasiku wanaenda shule nakurudi na kucheza na wenzake kilasiku ya mungu.
Je usalama kwako upowapi hapo kama hiyo corona ipo kama munavyotangaziwa na mabeberu wa nje ni nani ambae angeweza kupona kwa chain hiyo jinsi ilivyo.
Kwani covid inauwa watoto, where do you get your statistics
 
Tuna hatarisha kweli, hatua stahiki za afya lazima tuzingatie kupunguza maambukizi, hatuna takwimu, hivyo hatuwezi kujilinganisha na taifa lolote, kutotoa takwimu si maana yake Mungu katuvusha mwaka salama!
 
Ficha ujinga wako! Umeshaambiwa sisi hatupimi na hivyo hatujui ukubwa wa tatizo tulilo nalo.
Kingine soon Dunia itatutenga kabisa! najua haya maneno huyajui "mutant" na " variant" ndio maana ni ngumu sana kukuelewesha!
Wewe ni kajinga! Hivi mtaani kwako wakifa watu 20 mfululizo huwezi kujua na kuona kama kuna tatizo?

Hao watu unaojaribu kutuaminisha kwamba wamekufa sana ila hatujui maana hatuhesabu wanazikwa wapi?

Dunia itutenge? Yani kwa akili yako unadhani corona itaisha dunia nzima kisha hapa kwetu iendelee kuwepo?
 
Dorothy Gwajima, Tanzania’s health minister, held a Covid-19 press briefing this month that looked more like a cooking show. Brandishing a blender as an aide added ginger, onions, lemon and pepper to the concoction, she explained that the vegetable smoothie would ward off coronavirus.

Dah, hawa 'mabeberu' kweli wanafananisha press conference na kipindi cha mapishi / kujipikilisha kinachorushwa live ktk kituo cha televisheni!

Na siyo kuwa mawaziri wetu, wako serious kufanya demo ya kutengeneza 'mchanyato' wa dawa za kukabiliana na korona kwa kutumia blender na electric kettle waTanzania tupate kinga ya mwanzo (first line of defense) dhidi ya kirusi cha Corona!

Hakika ule msemo akutukanaye...., kweli mabeberu wameamua kuiangazia Tanzania na wanachokiita wao kituko ktk kupambana na gonjwa hatari.
 
Wewe ni kajinga! Hivi mtaani kwako wakifa watu 20 mfululizo huwezi kujua na kuona kama kuna tatizo?

Hao watu unaojaribu kutuaminisha kwamba wamekufa sana ila hatujui maana hatuhesabu wanazikwa wapi?

Dunia itutenge? Yani kwa akili yako unadhani corona itaisha dunia nzima kisha hapa kwetu iendelee kuwepo?
Wewe ndo mji.nga wa kupindukia! Unaongea kama Tanzania iko kwenye sayari yake pekee!
Wewe umeshaambiwa Dunia inataka kuondoa CORONA ila Tanzania haichukui hatua zozote ! Hivyo CORONA virus aliyeko Tanzania ataendekea ku- undergo mutation na kuwa threat kwa Dunia nzima!
Tuliwambia elimu ya Tanzania inazalisha watu sawa na misukule ona sasa mlivyo wengi !
Nyie ( Misukule) mna akili kuliko Israel wanaochanja watu wao!
 
Tuna hatarisha kweli, hatua stahiki za afya lazima tuzingatie kupunguza maambukizi, hatuna takwimu, hivyo hatuwezi kujilinganisha na taifa lolote, kutotoa takwimu si maana yake Mungu katuvusha mwaka salama!
Kwahiyo na hayo mataifa yanayotoa takwimu kila uchwao wamejikinga vipi na corona au maambukizi kwao ndio yamepungua kwa kutoa takwimu na sisi tusio toa ndio tunaangamia au?
 
Back
Top Bottom