IDEGENDA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 4,492
- 5,349
Hutua zipi unataka zichukuliwe ili kuondoa corona?Wewe ndo mji.nga wa kupindukia! Unaongea kama Tanzania iko kwenye sayari yake pekee!
Wewe umeshaambiwa Dunia inataka kuondoa CORONA ila Tanzania haichukui hatua zozote ! Hivyo CORONA virus aliyeko Tanzania ataendekea ku- undergo mutation na kuwa threat kwa Dunia nzima!
Tuliwambia elimu ya Tanzania inazalisha watu sawa na misukule ona sasa mlivyo wengi !
Nyie ( Misukule) mna akili kuliko Israel wanaochanja watu wao!
Huyo Virus aliyeko tz umemjuaje na hatupimi?