nyamadoke75
Member
- Apr 1, 2020
- 95
- 288
Kabisa Jidu LA Mabambasi mwelekeo wa Tanzania ndio huu na hakuna wa kutupangiaAcha ujinga.
Uliamua na nani na kwa kikao kipi!
Kabisa Jidu LA Mabambasi mwelekeo wa Tanzania ndio huu na hakuna wa kutupangiaAcha ujinga.
Uliamua na nani na kwa kikao kipi!
Wewe unaejua na mwenye akili tafuta dunia yako ukaiishi au ungana nao unaowaona wenye akili wenzako wanaotoa takwimu kilasiku ya maongezeko ya wagonjwa kwao nitakuona pengine unamaamuzi yakiume.Peleka ujinga wako kwa wenzako, hujui chochote ,zaidi ushabiki wa kijin.ga!
Midudu mijinga imelishwa "sumu" za kijinga na watu " myopic" !Baki na maujinga yako huko huko usinitolee mimi mipovu yako hapa.
Mimi pia sitaki kubishana na jitu linalojidharau na kufikiri lenyewe si mtu ila mzungu tu.
Naona umepaniki kweli kweli? Si tulikubalini hubishani na wajinga na mimi nikasema sibishani na jitu linalo jidharau na kuona lenyewe si mtu bali mtu ni mzungu tu?Midudu mijinga imelishwa "sumu" za kijinga na watu " myopic" !
Hoja siyo uzungu na uafrika ! Hoja hapa ni sayansi!
Watu karne 21 mnazidiwa na watu walioongozwa na KINJEKITILE NGWARE?!
In short nina siku 4 toka nimetoka kitale sasa sijui kama count ya kitale unaijua ipo upande gani mwa africa.Wewe ni Msukule ambao haujawahi kutoka nje ya Tanzania!
CORONA ni Global Pandemic hivyo kui- fight inatakiwa na ndivyo ilivyo ni Global Approach , sijui hata kama wewe msukule unanielewa!
Nadhani hujui hata maana ya WHO?
Mkuu unajuaje hatujafa kwa maelfu wakati haturipoti wala kupima wagonjwa wa corona?Vifo vinavyotokea mtaani na kwa wakubwa vinaashiria idadi ya vifo ni kubwa.Baada ya kuona hatujafa kwa maelfu kama walivyotarajia sasa wameamua kulazimisha mambo ili "unabii" wao utimie!
Tunawadai pesa zilizotokana na kuchuma mali zetu wakati wa ukoloni!
Wanaokataa chanjo ni wananchi au viongozi?Wao viongozi na familia zao wameshapata chanjo ya Wachina kimya kimya wewe upo unapiga mapambio tu hapo.Wao wanahangaika na sisi ili iweje?kila nchi imachukua hatua zake kupambana na covid 19 sisi tumesema tutamuomba Mungu na kuchukua tahadhari kila mtu apambane na hali yake over
Ule ulikuwa ni upuuzi wa Trump kwa raia wake na pia wenzetu wanaripoti vifo na wagonjwa sasa sisis haturipoti sio vifo wala wagonjwa utajuaje idadi ya vifo?Au ni taifa la kupiga ramli badala ya sayansi?Marekani ina vifo 500,000 na bado idadi inaendelea wao hawahatarishi dunia ila tz.
Hawa watu akili zao na za hawa washabiki wao wa hapa kwetu ukijumlisha na yule mbelgiji akili zao zipo kwenye visigino
Wewe ni mkenya? Your problem mnajikuta mnajua kila kituWewe ndo mji.nga wa kupindukia! Unaongea kama Tanzania iko kwenye sayari yake pekee!
Wewe umeshaambiwa Dunia inataka kuondoa CORONA ila Tanzania haichukui hatua zozote ! Hivyo CORONA virus aliyeko Tanzania ataendekea ku- undergo mutation na kuwa threat kwa Dunia nzima!
Tuliwambia elimu ya Tanzania inazalisha watu sawa na misukule ona sasa mlivyo wengi !
Nyie ( Misukule) mna akili kuliko Israel wanaochanja watu wao!
Je corona ipo?Kwahiyo na hayo mataifa yanayotoa takwimu kila uchwao wamejikinga vipi na corona au maambukizi kwao ndio yamepungua kwa kutoa takwimu na sisi tusio toa ndio tunaangamia au?
Tusipoangaliwa watatutafutia namna ya kutuangamiza kama tunavyoangamiza nzige ArushaTanzania ndiyo Taifa la ajabu pekee, lililogeuka kuwa kichekesho cha Ulimwengu wa Sayansi, linalokataa chanjo zilizofanyiwa utafiti wa Kisayansi lakini linaamini mvuke na juice vinaua virusi vya Covid 19.
Gazeti la Irish Times linaelezea kuwa Waziri Gwajima amewaambia watanzania wanywe juice ya matunda iliyochanganywa na pilipili ili kupambana na corona.
Jitafakari kidogo, kiongozi wangu hili janga limeshambulia dunia yote. Wanajaribu kutokomeza ugonjwa na vyanzo vyake vyote.. huoni kusalia kwa Tanzania peke na mambukizi inaweza atarisha mataifa mengine? Tumepakana na nchi nyingi tu kiongozi nazo zimepangana na nyinginezo huon kunahatari ya kurudisha hili janga tena? .. msiwe tu watu wakusifu na kuabudu tafakari kidogo.Wao wanahangaika na sisi ili iweje?kila nchi imachukua hatua zake kupambana na covid 19 sisi tumesema tutamuomba Mungu na kuchukua tahadhari kila mtu apambane na hali yake over
Ingekuwa umeshawahi kwenda nje ya nchi na kujifunza mambo kadhaa ya kimataifa, usingeandika takataka kama hii. Tunakoelea, hakuna Mtanzania ataruhusiwa kutoka kwenda nje ya nchi, iwe kwa matibabu, masomo, matembezi ama biashara, kwa kuwa hatutaki kuchukua hatua dhidi ya ugonjwa wa corona. Jiulize, ni Watanzania wangapi wanakwenda China na Malaysia ama Singapore kufungasha mzigo? Tukishapigwa marufuku, uchumi utaendeshwaje na kodi zitakusanywa kwenye biashara gani?Sisi tulishaamua haturudi nyuma!!
Katika kuamua kwetu kunawale ambao ni Watanzania Kwa nje, Ila Kwa ndani ni mabeberu, tutawalazimisha kuelekea mwelekeo wa Watanzania halisi yaani nje ndani ni Watanzania
Na tutakuwa wa Kwanza kuishinda hiyo biashara Yao ya mauwaji dhidi ya watu
Tulianza na Mungu na tutamaliza na Mungu na hatutarudi nyuma ng'o!! Anayegeuka kuwa mawe na ageuke Ila tutamsaidia kumvusha
No!Wanapaswa kuhangaika na sisi kwa sababu kitaalam virusi vya Corona vikiachwa bila kupigwa vita(Bila chanjo) huwa vinapata uwanja mpana wa kufanya mutations na kuunda variants mbalimbali.Hii ina maana Tanzania itakuwa ni kiwanda cha kuunda variants mbalimbali wa Corona na kuwasambaza dunia nzima kitu ambacho kitahatarisha usalama wa dunia nzima.Kwa hili wana haki ya kuhangaika na Tanzania.Wao wanahangaika na sisi ili iweje?kila nchi imachukua hatua zake kupambana na covid 19 sisi tumesema tutamuomba Mungu na kuchukua tahadhari kila mtu apambane na hali yake over
Akili yako haina akili mkuuIngekuwa umeshawahi kwenda nje ya nchi na kujifunza mambo kadhaa ya kimataifa, usingeandika takataka kama hii. Tunakoelea, hakuna Mtanzania ataruhusiwa kutoka kwenda nje ya nchi, iwe kwa matibabu, masomo, matembezi ama biashara, kwa kuwa hatutaki kuchukua hatua dhidi ya ugonjwa wa corona. Jiulize, ni Watanzania wangapi wanakwenda China na Malaysia ama Singapore kufungasha mzigo? Tukishapigwa marufuku, uchumi utaendeshwaje na kodi zitakusanywa kwenye biashara gani?
Pale Nzega, wiki kama 3 hivi nilivyokaa hapo, kila siku walikuwa wanazika watu kati ya 4 mpaka 7 kwa siku moja wenye dalili za corona. Nzega Ni mji mdogo sana.Wewe ni kajinga! Hivi mtaani kwako wakifa watu 20 mfululizo huwezi kujua na kuona kama kuna tatizo?
Hao watu unaojaribu kutuaminisha kwamba wamekufa sana ila hatujui maana hatuhesabu wanazikwa wapi?
Dunia itutenge? Yani kwa akili yako unadhani corona itaisha dunia nzima kisha hapa kwetu iendelee kuwepo?