Ipyana Malecela (10 years on) - RIP

Status
Not open for further replies.

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
1.jpg




Katika maisha ya Binadamu hakuna jambo linalouma kama mzazi kumzika mwanae, lakini inauma zaidi hasa mwanae anapokuwa ni mtu wa watu na mtu mwema.


Vijana wengi wa JF mtakuwa hamumjiui huyu lakini 10 years ishapita tangu Brother Ipyana Malecela atutoke na bado nakumbuka vividly siku ile tulpopata habari kuwa Ippi katutoka. Kiumri alikuwa kanipita lakini the Ipyana had so much respect for me kama mdogo wake and one thing about Ippy was sure. No matter how heated the discussion, no matter how terrible the situation, Ippy was never a part of the problem, and always a part of the solution.

Mimi nilifahamiana naye kama brother na kusema kweli jamaa binafsi nathubutu kusema kuwa at this stage angekuwa mtu ambaye angebadili sana mambo ndani ya Chama na serikali kama si siasa za maji taka zilizoendelea kwenye ule uchaguzi wa Vijana Dar.

Ippi ametangulia mbele ya haki na sote tuko njiani na to be honest mpaka leo naweza kusema kuwa hatotokea mwingine kama Ippi ambaye tulikaa naye, tulijishughulisha naye na pia tuli have fun naye....hakuwa na majivuno, hakuwa ndumilakwili, hakuwa mchochezi na pia alikuwa hajidai kama wengine. Love is not an easy feeling to put into words. Nor is loyalty, or trust, or joy. But he was all of these. He loved life completely and he lived it intensely hilo leo hii ukiwauliza akina albert, tom, mudi, omari etc wakatkuambia hivyo hivyo.

How can I ever forget ofisini pale juu opposite Cassandra, Samora avenue palivyokuwa hapaishi watu kwa sababu ya Ippi na ucheshi wake? We loved him as a brother and one of us. At times I often wonder where did this guy inspiration from? was it from Mzee Malecela or mama yake au ndugu zake? To be honest nilikuwa sijuani nao hao ndugu zake lakini all in all-- he received an inspiration which he passed on to all of us... He gave us strength in time of troubles, wisdom in time of uncertainty, and sharing in time of happiness. He will always be by our side.


Unlike wengine ambao kila kitu wao kwani ni why lakini kwa brother Ipyana it was always WHY NOT?

Inna lillahi wa Inna Illahi Rajuun (hakika sote ni wake na kwake tutarudi)

-SR
 
May he rest in peace,namkumbuka vizuri sana alikuwa jirani yangu pale upanga...mtu wa watu.ni km juzi tu maskini kumbe miaka 10 imekatika.mungu ampumzishe pema
 
Lakini bado haujasema alikuwa mtu wa aina ggani na alifariki 2001?
 
Jamaa alikuwa school mate wangu na rafiki highlands sec school iringa.baba yake mkuu mkoa.tulikuwa tunagombania vidada kwa kwenda mbele.rip rafiki
 
Aka shuleni aka idi amin.hakuchagua yeye watu walimpa.
 
Nilisoma na dada zake, shughuli zake kichama sikuwahi au kubahatika kuzishuhudia. R.I.P. IPPY.

Siwezi kuongea mabaya ya huyu bwana, kwangu alikuwa poa tu!

Tunakuja huko uliko IPPY ( whatever or where ever it isi!)
 
RIP Ippy ->
"If they ever tell my story let them say I walked with giants, men rise and fall like the Winter wheat but these names will never die... Let them say I lived in the time of Ippy, tamer of charm...let them say I lived in the time of Le generale..."
 
aisee jamaa walimchagua tu ccm wakampa mambo malecela alikataa tamaa sana na ccm kwa wakati huo akijua yeye next
Mungu akuweke I.M pema peponi
 
Simfahamu lakini nadhani kufa angali kijana ni pigo kwa Taifa lolote lile, kwani vijana hao ndio ambao future ya taifa inategemea; hasa kwa vile alikuwa ni kiongozi capable. Siku nyingi zimepiga kiasi kuwa majina nimeyasahu lakini mwaka 1981 nilikuwa jeshini Ruvu na mmoja wa watoto wa Malecela wakati akiwa waziri wa mawasiliano; alikuwa kijana mwungwana ingawa sina uhakika kama ndiye huyo.

Mungu ailaze pema peponi roho ya marehemu
 
Jamaa nilipiga nae kwata pale Ruvu JKT miaka ile ya 83/84. Alikuwa mtu safi sana ila kifo akijui hayo................may be angekuwa fisadi la kutupa...... no body knows lakini alikuwa kijana powa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom