Nambe
JF-Expert Member
- Jan 18, 2011
- 1,451
- 534
et tukikosana anapofanya maombi ili alale anaanza kunitaja kwenye maombi yake mfano dk 5 zilizopita ndio narudi home nimechelewa anasali na mwanetu et mungu mponye na mme wangu pepo la kuchelewa home mbadilishe .ina niboa kila siku namwambia.ngoja
Njoo ufanyiwe maombii....
Ufanyiwe maombeziii...
Ukiombewa tatizo lako ni dogo....
Kaka mshukuru Mungu anakuombea...
Badala ya kutaka kumpa kipondo badilika...uungane nae kwenye maombi lol....