marejesho
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 6,634
- 3,662
hayupo arafu kesha lala
Nawe kabla hujalala, Mwambie Mungu awape amani katika ndoa yenu...
hayupo arafu kesha lala
kwani kuchelewa ni kosa gani kwenye ndoa.
mkuu naamini mkeo anakupenda sana, nayaonekana ni tabia yako kuchelewa, sasa kaamua kukushitaki kwamungu na shahidi mwanao, naamini kesho hutachelewa
Mkuu tafuta swala tano uoe uachane na huyo mlokole.
Kweli bana inaelekea una pepo la kuchelewa, sasa unaombewa pepo linapanda. acha fujo bana ...jirekebishe.et tukikosana anapofanya maombi ili alale anaanza kunitaja kwenye maombi yake mfano dk 5 zilizopita ndio narudi home nimechelewa anasali na mwanetu et mungu mponye na mme wangu pepo la kuchelewa home mbadilishe .ina niboa kila siku namwambia.ngoja
et tukikosana anapofanya maombi ili alale anaanza kunitaja kwenye maombi yake mfano dk 5 zilizopita ndio narudi home nimechelewa anasali na mwanetu et mungu mponye na mme wangu pepo la kuchelewa home mbadilishe .ina niboa kila siku namwambia.ngoja
Utoto tu,
Ukikua utaacha
kalala wewe unafanya nini hapa? kwenda kulala na mkeo, kweli unaitaji maombi na mfungo wa 7days.
unachelewa ukiwa wapi mkuu? usilopenda kufanyiwa usimfanyie mwenzio .
unachelewa ukiwa wapi mkuu? usilopenda kufanyiwa usimfanyie mwenzio .
siku ukimdunda tu kwa kuwa ni mambo ya ki imani na wewe ndiyo siku yako ya kuacha kuchelewa , nafsi itakutesa hata mwezi , usichezee imani hata kidogo ya mtuet tukikosana anapofanya maombi ili alale anaanza kunitaja kwenye maombi yake mfano dk 5 zilizopita ndio narudi home nimechelewa anasali na mwanetu et mungu mponye na mme wangu pepo la kuchelewa home mbadilishe .ina niboa kila siku namwambia.ngoja
Wewe unashangaza sana,yaani mtu anakuweka kwenye maombi unataka kumnasa makofi,Je angekuwa na kelele kama mziki wa gari la promotion ungefanya nini?
Hebu kua bwana
Na wewe fanya maombi sio unalalamika kama zuzu!