punguza jazba ndugu yangu......kupiga si solution ya tatizo,tulia na utafute njia nyingine ya kutatua hilo,kwani akikutaja kwenye maombi we inakukwaza nini??au una mapepo??et tukikosana anapofanya maombi ili alale anaanza kunitaja kwenye maombi yake mfano dk 5 zilizopita ndio narudi home nimechelewa anasali na mwanetu et mungu mponye na mme wangu pepo la kuchelewa home mbadilishe .ina niboa kila siku namwambia.ngoja
Wewe unashangaza sana,yaani mtu anakuweka kwenye maombi unataka kumnasa makofi,Je angekuwa na kelele kama mziki wa gari la promotion ungefanya nini?
Hebu kua bwana
et tukikosana anapofanya maombi ili alale anaanza kunitaja kwenye maombi yake mfano dk 5 zilizopita ndio narudi home nimechelewa anasali na mwanetu et mungu mponye na mme wangu pepo la kuchelewa home mbadilishe .ina niboa kila siku namwambia.ngoja
Sasa hiyo sala gani hadi apayuke..si angesali kimyakimya..ili huyo aonaye sirini amsikize? nadhani ana haki ya kudundwa huyo...
kwani hawezi omba nikiwa sisikii inakuwa kama ananisema sasa si bora aniambie tu kuwa kwa nn kwenye maombi
et tukikosana anapofanya maombi ili alale anaanza kunitaja kwenye maombi yake mfano dk 5 zilizopita ndio narudi home nimechelewa anasali na mwanetu et mungu mponye na mme wangu pepo la kuchelewa home mbadilishe .ina niboa kila siku namwambia.ngoja
hahaaaaaa nimecheka sanaaaa

Nenda kamtwange kwanza wa kwako ndio uje na ushauri wako pepo mchafu wee.
et tukikosana anapofanya maombi ili alale anaanza kunitaja kwenye maombi yake mfano dk 5 zilizopita ndio narudi home nimechelewa anasali na mwanetu et mungu mponye na mme wangu pepo la kuchelewa home mbadilishe .ina niboa kila siku namwambia.ngoja
yeye ni mwalimu anatokaga mapema sasa hajui kuwa wengine jioni kuna foreni la hatari kila jioni analeta maombi ya kubore