ipo siku nitampiga makofi wife akiwa anasali

kwahiyo wewe hilo pepo la kuchelewa unalipenda sana? ama kweli shetani wa mtu ni mtu mwenyewe.
 
we inaelekea unafurahia unapoombewa ila basi tu umeamua kuja kujibaraguza hapa.
Maombi yaendelee tu bhana ili pepo la naniliu nalo liishe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom