ipo siku nitampiga makofi wife akiwa anasali

ipo siku nitampiga makofi wife akiwa anasali

Aisee nimecheka ile mbaya mkuu!! usimchape makofi shemeji yetu ongea nae tu vizuri atakuelewa.

nimemueleza mara nyingi tena et ananena kwa lugha si unajua mlokole hua nahisi kumlukia sema tunaish vema ila nachukia
 
Usifanye hivo mkuu. Kisasi cha Mungu ni kibaya sana. Wewe kama sio muumini bora ukapiga kimya tu.

tuna mtoto mdogo et anamwambia dady has late come we pray 4 him wanaanza maombi yao then wananitaja na mm sio poa
 
Inawezekana akawa hana mke huyu ila anajisikia tu kuanzisha Thread.
 
Nomaaaaaaaaaaaaaaaa Mama anajaribu kukuombea hutaki una matatizo yako
 
Mshukuru Mungu kwa kuwa anakupenda hata anamwomba Muumba ili ubadilike familia iwe imara.
 
Nionacho hapa ni mwanaume mhafidhina asiyejua nini maana ya kuwa mume...

Hakika unahitaji maombi zaidi...maana sina uhakika kama unaamini katika Mungu wewe...
 
et tukikosana
anapofanya maombi ili alale anaanza kunitaja kwenye maombi yake mfano
dk 5 zilizopita ndio narudi home nimechelewa anasali na mwanetu et mungu
mponye na mme wangu pepo la kuchelewa home mbadilishe .ina niboa kila
siku namwambia.ngoja

cha ajabu wewe ndio utapigwa kofi na Mungu! Na kofi la Mungu ni baya sana unaweza usiinuke mpk siku ya ufufuo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom