Kibo255
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 4,408
- 3,943
Akuponye na pepo la kutoa siri nyumbani kuleta jf amen.
amen umenena anaitaji uponyaji
Akuponye na pepo la kutoa siri nyumbani kuleta jf amen.
Unaona sasa! Ndio shida ya jina lako! Umeshaanza kutoa siri za nyumbani! Khaaaa! Hivi ukoje! Snowdern bwana!
Wewe unashangaza sana,yaani mtu anakuweka kwenye maombi unataka kumnasa makofi,Je angekuwa na kelele kama mziki wa gari la promotion ungefanya nini?
Hebu kua bwana
huna haja we akitaka kusali tu mwambie akasalie nje hapo hutosikia! hata hivyo ni dhambi kusali kwa nguvu wakati jirani yako kanyamaza vile vile ni dhambi kusali kwa nguvu wakati wengine wanasali kimya kimya na ni dhambi kusali wakati wengine wanaimba!et tukikosana anapofanya maombi ili alale anaanza kunitaja kwenye maombi yake mfano dk 5 zilizopita ndio narudi home nimechelewa anasali na mwanetu et mungu mponye na mme wangu pepo la kuchelewa home mbadilishe .ina niboa kila siku namwambia.ngoja
Hahahahahaaha Mwee huku ndani hadi raha lol 😀😀😀😀
huna haja we akitaka kusali tu mwambie akasalie nje hapo hutosikia! hata hivyo ni dhambi kusali kwa nguvu wakati jirani yako kanyamaza vile vile ni dhambi kusali kwa nguvu wakati wengine wanasali kimya kimya na ni dhambi kusali wakati wengine wanaimba!
hahahah hapo lazima UPONE TU!
Akuponye na pepo la kutoa siri nyumbani kuleta jf amen.
et tukikosana anapofanya maombi ili alale anaanza kunitaja kwenye maombi yake mfano dk 5 zilizopita ndio narudi home nimechelewa anasali na mwanetu et mungu mponye na mme wangu pepo la kuchelewa home mbadilishe .ina niboa kila siku namwambia.ngoja

inabore mbaya zaidi anamuita na mtoto et njoo tumuombee dadie sasa mtoto kaingiaje ?
et tukikosana anapofanya maombi ili alale anaanza kunitaja kwenye maombi yake mfano dk 5 zilizopita ndio narudi home nimechelewa anasali na mwanetu et mungu mponye na mme wangu pepo la kuchelewa home mbadilishe .ina niboa kila siku namwambia.ngoja
vitabu vinasema hivi hata ukifunga usifanye uso wako uwe katika hali ya kila mtu kujua umefunga. sasa huyo mke anayekuja kusali hapo kitandani huku akikutaja sijui hivi...kemea shetani leo baba naniii hajala, leo baba nanii haja haja...! ni lazima unaemsalia asikie ukimsalia? hiyo ni unafiki na ni kelele kama zingine!acha kumshauri mwenzio ushetani!! akasalie nje manake nini! hiyo nyumba ni ya nani! kwanini basi asimpe talaka tu ili iwe officially wameachana!!
huu ni ujinga, kama anajua period zake za maombi si awe anakaa nje mapaka akimaliza!
kwani anasali huku akimfuata ama akiwa nae nyuma? this is insane!
Kama inakuboa si uwe unarudi mapema?
Bahati yako unaombewa sasa, itafika siku htjali wala kukuliza uko cha wapi. Ukifika unkuta kalala kwa rah zake na hata ukimgusa hageuki.