kwani hawezi niambia kwa maelezo ya kawaida mpaka anishtak kwa mungu mean anani laan au vp?
^^
Teh teh unaogopa kushitakiwa kwa Mungu
^^
Asisahau pepo la foleni.
yaani kanichefua
craki ban aisee
Hahahaah! Sasa ukimpiga itasaidia nini?et tukikosana anapofanya maombi ili alale anaanza kunitaja kwenye maombi yake mfano dk 5 zilizopita ndio narudi home nimechelewa anasali na mwanetu et mungu mponye na mme wangu pepo la kuchelewa home mbadilishe .ina niboa kila siku namwambia.ngoja
Huyu mwanamke ana lake jambo, kwani ukimuombea mtu ni lazima yeye asikie?? Halafu hayo maombi ni hadi wagombane?? Kama vipi aombe kimya kimya tu.Itabidi akuombee na pepo la kutaka kumpiga litoke..Shukuru Mungu unamwanamke anayekuombea,then before haujawaza kumpiga fikilia mamayako angepigwa na babaako ungejisikiaje?
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
vitabu vinasema hivi hata ukifunga usifanye uso wako uwe katika hali ya kila mtu kujua umefunga. sasa huyo mke anayekuja kusali hapo kitandani huku akikutaja sijui hivi...kemea shetani leo baba naniii hajala, leo baba nanii haja haja...! ni lazima unaemsalia asikie ukimsalia? hiyo ni unafiki na ni kelele kama zingine!
sishauri apigwe ila amwambie akasalie nje au asali kimya kimya!so unashauri mwanamke APIGWE ?