Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,195
- 4,551
Hamna haja ya kujiuliza cheki oppo c11 imetoka juzi tu.Wadau kwa hiyo nivute oppo ya 350,000?
Siku nunua mimi alinunua rafiki yangu.Jifunzeni kufanya manunuzi mtandaoni mpate item nyingi na nzuri kwa bei resonable, kaka, mkubwa kama kweli uliuziwa bongo 7a laki tatu mpka nne na hamsini, unatka kuuambia umma wa jamii forum hilo duka simu kama redmi note 7 iliuzwa shingapi sio milion, tujifunze na window shopping kujua ata bei kabla ya kunua note 8 yenyewe haiuzwi 450 till now
Natumia Redmi S2 toka August 2018,iko vizuri sana kila kitu,na nilianza kuzifuatilia hizi simu kupitia maandiko ya Chief Mkwawa,ila upande wa Camera haina ubora mzuri,ila sekta zingine is among of the best phone kwa watu wa kipato cha wastani.Xiaomi ya laki 3 ni redmi 9 (bila A) ina helio G80 yenye nguvu ya kutosha tu kushinda almost simu zote za hio budget.
Nunueni simu msitishwe now poco M3 yenye mAh 6000 aliexpress ni mpka 335000 na shipping fee ikiwa included sasa hapo kuna sim keenye hio budget ya kulingana nae ? Hio apo niliinua kwa 377 gb 128 TmallXiaomi uwe na budget ya laki 4 kuendelea ndio uta enjoy. Laki 4 hvi kuna Redmi Note 8. Lakin 2 utapata matatzo tu labda ununue model ya zamani kdg ndio itakua vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee unatafuta ligi nikuletee ushahidi wa sim almost kumi au thelathin hiv tunazonunua aliexpress kisha tunakuja muuzia mtu kama ndugu yako kwa super profit eti 7a kwa laki nne alikua anaumwa ugonjwa hela huyo
Shida ni kwamba sio kila mtu yupo tayari kuchukua risk za kununua mtandaoni.Nunueni simu msitishwe now poco M3 yenye mAh 6000 aliexpress ni mpka 335000 na shipping fee ikiwa included sasa hapo kuna sim keenye hio budget ya kulingana nae ? Hio apo niliinua kwa 377 gb 128 Tmall
Mtizamo wako ni hasi sana tuishie hapo, kanunue poco M3 iko highlife gb 64 wanakuuzia laki tano unusu, sisi tutanunua china adi soksi na hatuogopi tulikua kama wewe ila tukakubali kupokea mabadiliko na tukabadilika, na mtu alienisaidia kunibadili ipo siku utamuelewa na pengine utabadilika, mfuate sana chief mkwawa kwa mambo ya tech. Uwe na siku njemaShida ni kwamba sio kila mtu yupo tayari kuchukua risk za kununua mtandaoni.
Simu ikija mbovu uanze kuhangaika mambo ya kuirudisha urudishiwe hela yako baadaa za kusuburi 3 weeks+ ifike
Simu ikipata shida ndani ya warranty huna pa kuipeleka
Na sometimes unaweza pigwa kodi za ajabu.
Mm nanunua vitu vya bei ndogo ndogo tu mtandaoni. Cha bei kubwa labda kiwe hakipo kabisa huku bongo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Xiaomi ya laki 3 ni redmi 9 (bila A) ina helio G80 yenye nguvu ya kutosha tu kushinda almost simu zote za hio budget.
Xiaomi ( mi) series hizi ni higheend phones , Redmi hizo ni midrange na lower , kiujumla kampuni ni moja ila zimegawanywa kwa bajet yako chukua tu redmi series kakaNaomba kujua kati ya Redmi na Xiaomi ni ipi simu bora zaidi. Na kwa bajeti ya laki 4-5 napata toleo gani la maana kwenye hizo mbili?
...Mkuu, kwa taarifa yako tu na wengineo, OPPO ni ya India na sio China, OvaWadau naomba mnijuze,
Je, ni simu gani hapo ina ubora zaidi kati ya simu tajwa hapo juu.
OPPO ni company ya China. Oppo ni part ya BBK Electronics yenye Vivo, Oneplus, iQOO na Realme...Mkuu, kwa taarifa yako tu na wengineo, OPPO ni ya India na sio China, Ova
Kama mdau hapo juu alivyokujibu, redmi, xiaomi, MI, poco etc ni kampuni moja tu.Naomba kujua kati ya Redmi na Xiaomi ni ipi simu bora zaidi. Na kwa bajeti ya laki 4-5 napata toleo gani la maana kwenye hizo mbili?
Realme c11Hamna haja ya kujiuliza cheki oppo c11 imetoka juzi tu.
Ndio mda wangu wa kubadili simu apo acha nibet mzee acha nibetKama mdau hapo juu alivyokujibu, redmi, xiaomi, MI, poco etc ni kampuni moja tu.
Kwa hio budget kama una haraka sana chukua redmi note 9s, kwa hio budget haina mpinzani.
Kama unaweza subiria redmi note 10 series zinatoka tarehe 4 mwezi wa 3 kama wiki tu hivi, na tetesi za Awali kutakuwa na version yenye Amoled na uwezo wa 5G, hivyo itakuwa ni simu nzuri future proof itakayokaa miaka mingi bila kuwa outdated.
uliuziwa fake one! or defective one.Yeye katoa reason with reference.
Na Mimi nimejibu Kwa experience yangu jinsi nilivyotumia hyo simu.ndo najua tatizo lake.
Kwa hyo tunabishana?.
"Mind your head"
Kwako sibishi ata chembeKwa mnaosifia oppo na ndugu yake Vivo sifa zao ni hizi
1. WanaTangaza simu nzuri yenye specs kali kwenye media then wanazo hype zijulikane
2. Simu kali zinakuwa na availability ndogo na ngumu kupatikana
3. Then wanatengeneza simu mbovu nyingi za mediatek za ovyo kama p22 wanazijaza kibao mitaaani.
4. Wajinga waliwao, kwa kutumia hypes za point ya kwanza wa nanunua simu za point ya 3.
Usinunue simu kwa kuangalia brand tu bila kujiridhisha specs zake. Nenda China Plazza zimejaa kibao oppo na Vivo Ila 90% ni vimeo ukijichanganya tu una p22 kwa laki 4 ama 5.
Asante sana, naomba kujua kuhus Samsung A12, compared na hii Redmi?Kama mdau hapo juu alivyokujibu, redmi, xiaomi, MI, poco etc ni kampuni moja tu.
Kwa hio budget kama una haraka sana chukua redmi note 9s, kwa hio budget haina mpinzani.
Kama unaweza subiria redmi note 10 series zinatoka tarehe 4 mwezi wa 3 kama wiki tu hivi, na tetesi za Awali kutakuwa na version yenye Amoled na uwezo wa 5G, hivyo itakuwa ni simu nzuri future proof itakayokaa miaka mingi bila kuwa outdated.