Ipi nzuri kati ya Infinix na Oppo ya Mchina?

Jifunzeni kufanya manunuzi mtandaoni mpate item nyingi na nzuri kwa bei resonable, kaka, mkubwa kama kweli uliuziwa bongo 7a laki tatu mpka nne na hamsini, unatka kuuambia umma wa jamii forum hilo duka simu kama redmi note 7 iliuzwa shingapi sio milion, tujifunze na window shopping kujua ata bei kabla ya kunua note 8 yenyewe haiuzwi 450 till now
 
Siku nunua mimi alinunua rafiki yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Xiaomi ya laki 3 ni redmi 9 (bila A) ina helio G80 yenye nguvu ya kutosha tu kushinda almost simu zote za hio budget.
Natumia Redmi S2 toka August 2018,iko vizuri sana kila kitu,na nilianza kuzifuatilia hizi simu kupitia maandiko ya Chief Mkwawa,ila upande wa Camera haina ubora mzuri,ila sekta zingine is among of the best phone kwa watu wa kipato cha wastani.
Kingine ni moja ya simu zinazotunza chaji kwa muda mrefu.
 
Xiaomi uwe na budget ya laki 4 kuendelea ndio uta enjoy. Laki 4 hvi kuna Redmi Note 8. Lakin 2 utapata matatzo tu labda ununue model ya zamani kdg ndio itakua vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
Nunueni simu msitishwe now poco M3 yenye mAh 6000 aliexpress ni mpka 335000 na shipping fee ikiwa included sasa hapo kuna sim keenye hio budget ya kulingana nae ? Hio apo niliinua kwa 377 gb 128 Tmall
 
Attachments

  • IMG_20210106_213319.jpg
    IMG_20210106_213319.jpg
    156.8 KB · Views: 3
Nunueni simu msitishwe now poco M3 yenye mAh 6000 aliexpress ni mpka 335000 na shipping fee ikiwa included sasa hapo kuna sim keenye hio budget ya kulingana nae ? Hio apo niliinua kwa 377 gb 128 Tmall
Shida ni kwamba sio kila mtu yupo tayari kuchukua risk za kununua mtandaoni.

Simu ikija mbovu uanze kuhangaika mambo ya kuirudisha urudishiwe hela yako baadaa za kusuburi 3 weeks+ ifike

Simu ikipata shida ndani ya warranty huna pa kuipeleka

Na sometimes unaweza pigwa kodi za ajabu.

Mm nanunua vitu vya bei ndogo ndogo tu mtandaoni. Cha bei kubwa labda kiwe hakipo kabisa huku bongo.

Mtizamo wako ni hasi sana tuishie hapo, kanunue poco M3 iko highlife gb 64 wanakuuzia laki tano unusu, sisi tutanunua china adi soksi na hatuogopi tulikua kama wewe ila tukakubali kupokea mabadiliko na tukabadilika, na mtu alienisaidia kunibadili ipo siku utamuelewa na pengine utabadilika, mfuate sana chief mkwawa kwa mambo ya tech. Uwe na siku njema
 
Naomba kujua kati ya Redmi na Xiaomi ni ipi simu bora zaidi. Na kwa bajeti ya laki 4-5 napata toleo gani la maana kwenye hizo mbili?
Kama mdau hapo juu alivyokujibu, redmi, xiaomi, MI, poco etc ni kampuni moja tu.

Kwa hio budget kama una haraka sana chukua redmi note 9s, kwa hio budget haina mpinzani.

Kama unaweza subiria redmi note 10 series zinatoka tarehe 4 mwezi wa 3 kama wiki tu hivi, na tetesi za Awali kutakuwa na version yenye Amoled na uwezo wa 5G, hivyo itakuwa ni simu nzuri future proof itakayokaa miaka mingi bila kuwa outdated.
 
Ndio mda wangu wa kubadili simu apo acha nibet mzee acha nibet
 
Kwa mnaosifia oppo na ndugu yake Vivo sifa zao ni hizi

1. WanaTangaza simu nzuri yenye specs kali kwenye media then wanazo hype zijulikane
2. Simu kali zinakuwa na availability ndogo na ngumu kupatikana
3. Then wanatengeneza simu mbovu nyingi za mediatek za ovyo kama p22 wanazijaza kibao mitaaani.
4. Wajinga waliwao, kwa kutumia hypes za point ya kwanza wa nanunua simu za point ya 3.

Usinunue simu kwa kuangalia brand tu bila kujiridhisha specs zake. Nenda China Plazza zimejaa kibao oppo na Vivo Ila 90% ni vimeo ukijichanganya tu una p22 kwa laki 4 ama 5.
Kwako sibishi ata chembe
 
Kama mdau hapo juu alivyokujibu, redmi, xiaomi, MI, poco etc ni kampuni moja tu.

Kwa hio budget kama una haraka sana chukua redmi note 9s, kwa hio budget haina mpinzani.

Kama unaweza subiria redmi note 10 series zinatoka tarehe 4 mwezi wa 3 kama wiki tu hivi, na tetesi za Awali kutakuwa na version yenye Amoled na uwezo wa 5G, hivyo itakuwa ni simu nzuri future proof itakayokaa miaka mingi bila kuwa outdated.
Asante sana, naomba kujua kuhus Samsung A12, compared na hii Redmi?
 
Oppo ipo level ya i phone hizi oppo zenye matoleo ya mbele hata hizo i phone old vision hazioni ndani usichukulie jina kwa sababu ni oppo asia hizo sm zipo juu sn
 
Similar Discussions

7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom