Ipi nzuri kati ya Infinix na Oppo ya Mchina?

Sababu nilipigiwa simu na mtu wa fedex akaniambia kuna gharama kma 200000 hvi, so nimtoe hyo 1laki amalize kila kitu, sasa sababu nilishakata tamaa sikutaka kufikiria mara 2 maana nilishapanga niiache kabla haijatumwa bongo
Uliowaonesha invoice ulionunulia?
 
Sababu nilipigiwa simu na mtu wa fedex akaniambia kuna gharama kma 200000 hvi, so nimtoe hyo 1laki amalize kila kitu, sasa sababu nilishakata tamaa sikutaka kufikiria mara 2 maana nilishapanga niiache kabla haijatumwa bongo
Dah sio mtu wa fedex huyo,

Niliwahi Pata simu kama hio, nikawapigia wa husika wakanielezea.

Huyo ni agent wa clearing and forward, mzigo ukifika airport wa naona, wanapiga namba yako na kukutisha, ukiwa tumia hela wanalipa kinachobakia ni Chao cha juu.

Walikufanyia na free delivery sio?
 
Daaaaah!! Aisee washanipiga, yeeaah walinifanyia na free delivery kabisa

Hawa jamaa wanakera sana, na sijui kwanini haya makampuni yanaruhusu mzigo 3rd party akuletee nyumbani.

Next time komaa, chukua bei ya mzigo, zidisha kwa 1.18, bei utakayopata toa hela ya mzigo, kinachobakia ndio kodi.

Kwa soundbar ya dola 60 kodi ni Around 27,000
 
Asante sana mkuu nimepata elimu
Hawa jamaa wanakera sana, na sijui kwanini haya makampuni yanaruhusu mzigo 3rd party akuletee nyumbani.

Next time komaa, chukua bei ya mzigo, zidisha kwa 1.18, bei utakayopata toa hela ya mzigo, kinachobakia ndio kodi.

Kwa soundbar ya dola 60 kodi ni Around 27,000
 
Nataka ikae na charge siku kadhaa
Kwa sasa ni Xiaomi redmi note 9s.

Sema subiria kama wiki hivi redmi note 10 pamoja na Samsung galaxy A52 4g zinatoka muda si mrefu.

Na huo ukaaji chaji unataka ule wa kutumia siku nzima halafu usiku una chaji ama unataka simu inayokaa na chaji kwa siku kadhaa?
 
hii sumsung a52 4g ndo itakuwa inauzwa kwa hiyo budget ya 550000? maana nmechungulia spec kidgo zimechangamka
 
I hope bei watashusha kidogo sababu kutakuwa na version mbili A52 ya 5G na A52 ya 4g, hivyo ya 5g iwe hio laki 7 kupanda na ya 4g ishuke kidogo.
 
vipi mkuu tofauti ya OPPO Rero 5 na A52 4g n nn au ipi iko juu ya mwenzie (speed,performance,display na camera)
 
Hawa jamaa wanakera sana, na sijui kwanini haya makampuni yanaruhusu mzigo 3rd party akuletee nyumbani.

Next time komaa, chukua bei ya mzigo, zidisha kwa 1.18, bei utakayopata toa hela ya mzigo, kinachobakia ndio kodi.

Kwa soundbar ya dola 60 kodi ni Around 27,000
Sory sijakuelewa sheikhe , kidogo item yoyote inabid nichukue kiasi cha pesa ya manunuzi ndio nizidishe na hio namba au nigawanye
 
Una zidisha na kutoa.

Ama tumia hii website, andika gharama Kisha bonyeza calculate itakupa kiasi unachotakiwa ulipe.

Similar Discussions

Back
Top Bottom