Ipi nzuri kati ya Infinix na Oppo ya Mchina?

Kwa mnaosifia oppo na ndugu yake Vivo sifa zao ni hizi

1. WanaTangaza simu nzuri yenye specs kali kwenye media then wanazo hype zijulikane
2. Simu kali zinakuwa na availability ndogo na ngumu kupatikana
3. Then wanatengeneza simu mbovu nyingi za mediatek za ovyo kama p22 wanazijaza kibao mitaaani.
4. Wajinga waliwao, kwa kutumia hypes za point ya kwanza wa nanunua simu za point ya 3.

Usinunue simu kwa kuangalia brand tu bila kujiridhisha specs zake. Nenda China Plazza zimejaa kibao oppo na Vivo Ila 90% ni vimeo ukijichanganya tu una p22 kwa laki 4 ama 5.
Nitazijuaje hiz hypes level ??.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom