Ipi nzuri kati ya Infinix na Oppo ya Mchina?

Asante sana, naomba kujua kuhus Samsung A12, compared na hii Redmi?
Mbingu na Ardhi mkuu.

Hawa Samsung baada ya Huawei kutoweka wamepunguza specs low end zote, kifupi A12 imepitwa Nguvu hadi na galaxy A10.

Redmi note 9s ina nguvu kama mara 3 ya A12, mwenzake 9s ni Hii galaxy mpya inayokuja ya A52.
 
Nina kisound bar chao though kilinicost sana mpaka kukipata ila kina sound poa hatari
Hakika chief xiaomi sio wa kawaida kabisa mzee, hapa kwa sasa nina simu zao mbili tv yao, saa yao ile haylou solar l05 jana nimepokea bag yangu ya xiaomi ndio balaa kabisa, nimeplace oda ya vitu vyao vingine kifupi wanajua, siku ya kwanza tu kushika product yao mika ile nikajikuta naanzisha uzi wa xiaom kabisa kaka
 
Point si Mtk ama Snapdragon point ni kuuziwa Helio p22 ama soc zifananiazo.

Na zipo simu kibao zenye snapdragon nzuri kwa bei nafuu mfano redmi note 8.

Kuhusu China plaza lile ni Duka official la kampuni aka show room yao simu za pale ndo hizo hizo utakazokuta mtaani, unless una ushahidi mwengine mzito kwamba zile simu zao kali zipo mtaani.
Hiyo redmin note 8 iko sawa sana
 
Mbingu na Ardhi mkuu.

Hawa Samsung baada ya Huawei kutoweka wamepunguza specs low end zote, kifupi A12 imepitwa Nguvu hadi na galaxy A10.

Redmi note 9s ina nguvu kama mara 3 ya A12, mwenzake 9s ni Hii galaxy mpya inayokuja ya A52.
Unaizungumziaje motorola g 8/9 power, ukilinganisha na samsung m31/51

Overall hasa kwenye kukaa na charge muda mrefu???
 
Unaizungumziaje motorola g 8/9 power, ukilinganisha na samsung m31/51

Overall hasa kwenye kukaa na charge muda mrefu???
G8/G9 ni kama poco m3 tu, specs za kawaida sana Ila zinakaa na chaji.

M31 Pia specs za kawaida.

M51 ni habari nyengine ina display kali, processor nzuri na chaji inakaa.

Kuhusu ukaaji chaji ni baina ya M51 na G9, G9 ipo vizuri zaidi kwenye web browsing na M51 ipo vizuri zaidi kwenye video playback, overall M51 kwa kiasi kidogo sana inakaa na chaji, ni kama draw hivi.

Angalia test ya gsmarena hapa
 
Ooooh asante, so hii m51 price tag yake ni kma 1m za kibongo, je kuna simu yyte inaizidi ubora kwnye hyo bei???
 
Oooh sawa

Binafsi nataka simu ya kukaa na charge sanaaa hasa upande wa web browsing

Camera kali

Na yenye speed nzuri upande wa network

Ram 6gb

Na iwe inasupport micro card slot

Kwa bajeti ya 550000

Unashauri simu gani??
Mpinzani wa karibu ni hii Galaxy F62 iliotoka Karibuni.
 
Kilikuwa kinauzwa kma usd 60 hvi ila sababu seller alikuwa haship huku mitano tena, ikabidi tufoward usa kwanza, aloo hapa ndo majanga yalipoanzia, wa usa wakutuma kupitia fedex ambapo usafiri tu ilikuwa kma usd 55, na bdo kufika jiji la ilala nikalambwa laki ya kodi mamaeeeeee
 
Chief mkwawa, hii redmi note 10 inayotka kutoka inazizidi sim zote hapo juu tulizozungumzia au heb spec zake
 
Oooh sawa

Binafsi nataka simu ya kukaa na charge sanaaa hasa upande wa web browsing

Camera kali

Na yenye speed nzuri upande wa network

Ram 6gb

Na iwe inasupport micro card slot

Kwa bajeti ya 550000

Unashauri simu gani??
Kwa sasa ni Xiaomi redmi note 9s.

Sema subiria kama wiki hivi redmi note 10 pamoja na Samsung galaxy A52 4g zinatoka muda si mrefu.

Na huo ukaaji chaji unataka ule wa kutumia siku nzima halafu usiku una chaji ama unataka simu inayokaa na chaji kwa siku kadhaa?
 
Kilikuwa kinauzwa kma usd 60 hvi ila sababu seller alikuwa haship huku mitano tena, ikabidi tufoward usa kwanza, aloo hapa ndo majanga yalipoanzia, wa usa wakutuma kupitia fedex ambapo usafiri tu ilikuwa kma usd 55, na bdo kufika jiji la ilala nikalambwa laki ya kodi mamaeeeeee
Uliowaonesha invoice ulionunulia?
 
Mbingu na Ardhi mkuu.

Hawa Samsung baada ya Huawei kutoweka wamepunguza specs low end zote, kifupi A12 imepitwa Nguvu hadi na galaxy A10.

Redmi note 9s ina nguvu kama mara 3 ya A12, mwenzake 9s ni Hii galaxy mpya inayokuja ya A52.
Asante, ngoja nisubiri hiyo Redmi note 10
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom