racka98
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 1,041
- 1,530
Redmi 7a inalingana uwezo na simu zenye helio p23 kma Infinix Note 6. Sheria ya kununua simu ya Xiaomi sikuhz ni kwamba lazima iwe na USB C. Simu yoyote ya xiaomi isiyokua na usb C achana nayo kwasababu ndio zenye uwezo mdogo. Hayo ma snapdragon 439 achana nayo kabisha ni sawa na mtk za bei rahisi tu.Tuanze tu kuichambua simu ndogo kabisa ndani ya series ya 7 ( redmi 7a) inalingana performance na tekno ipi au itel ata hio chip ya mtk iliotumika ndani ya series ya 9 ( kina redmi 9a , 9c ) bado ni bora kwa ufanisi wa matumizi kuliko tekno yoyote niliowahi kuiona hasa kwa watu wasio super user
Simu pekee ya Infinix niliyotumia ikawa inaeleweka kdgo ilikua ni Infinix Note 5 yenye Android one kma Nokia.
Sent using Jamii Forums mobile app