Ipi ni zawadi nzuri ya kumpatia mpendwa wako hasa wa kike?

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Apr 24, 2019
1,727
3,286
JF Mahusiano👋

Nipo hapa kuuliza swali dogo tu.

Ipi ni zawadi nzuri ambayo unaweza mpatia mpenzi wako akafurahi Mainly Mwanamke hasa katika siku zao Maalumu kama Birthday?

Nina Jambo langu hapa😂😂

NOTE:Toa ushauri pasipo kuangalia swala la uchumi let's assume wote tuna kitu.
 
Mnunulie nguo nzuri(gauni),viatu,mkoba na saa,nadhani haizidi laki.
Ukiwa na nguvu zaidi mtoe out ya nguvu,mpeleke mahali pa zuri mkiwa wenyewe kwaajili ya dinner,pata nafasi ya kumueleza alivyo wamuhimu kwako,hakikisha unakuwa romantic.
Na ndio wakati wa kumpa zawadi zake.

Muhimu sanaa,mpende kwa dhati,soon utakuja kutupa mwaliko wa......

All the best
 
Kwanza kitendo kuacha kuwaza mambo yako ya msingi na kuwaza kumnunulia zawadi huyo mpenzi wako tayar ni zawadi.

Mpende Kwa dhati(ndani ya huo upendo kuna mizinga humu,kugombana,kusameheana,kuchepuka na mengineyo mengi ya kibinadamu kutoana out)
 
JF Mahusiano
Nipo hapa kuuliza swali dogo tu.

Ipi ni zawadi nzuri ambayo unaweza mpatia mpenzi wako akafurahi Mainly Mwanamke hasa katika siku zao Maalumu kama Birthday?

Nina Jambo langu hapa

NOTE:Toa ushauri pasipo kuangalia swala la uchumi let's assume wote tuna kitu.
Usijisumbue sana kumnunulia vidude dude......Mpatie tu cash 1m au 2m basi

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Candle lite dinner tena yafaa mkue wawili tu jioni iyo. Hii ni zawadi nzuri sana na kitu kigeni kwa wadada wengi wa bongo. Chochote kile utakachotoa hapo baada ya dinner kitabeba uzito mkubwa wa zawadi

Ushauri wa kijana wa darasa la saba.
 
Back
Top Bottom