GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,738
- 109,172
Neuter huyoUzi umekaa kimbea mbea sana huu.
Jinsia ya mtoa mada tafadhari
We unajuaje kuwa walistukizwa?au wewe unajuaje madhumuni ya ziara hiyo?Halafu ilikuwaje Lowassa alitembelewa Yeye kwa muda mrefu ila kwa waliofuata ( hasa wa Jana ) wametembelewa tu kwa muda mfupi mfupi na kama vile tulikuwa tunatimiza Wajibu tu?
Endeleeni na Unafiki wenu yaani Wazee wenye Hekima na wanaijua vyema nchi hii tokea Uhuru na msiowapenda mnawatembelea kwa haraka haraka kutimiza Wajibu na Kuondoa lawama ila wale Walioiharibu nchi hii kwa Ufisadi na Kuzitumia Rasilimali za nchi Kujitajirisha mnawatembelea wao kama wao tena na mnakaa nao muda mrefu na Matabasamu ya 'Madili' yakiwatawala tu.
Lowasa sio Waziri Mkuu mstaafu. Yeye alitimuliwa na bunge kwa kushindwa kuisimamia serikali zama za bunge hasa la Sita. Huku kuna Seleli hapa kuna Slaa pembeni yupo Zitto Kabwe kisheti anasimama Mwakyembe dimba la chini yupo Stela Manyanya.Halafu ilikuwaje Lowassa alitembelewa Yeye kwa muda mrefu ila kwa waliofuata ( hasa wa Jana ) wametembelewa tu kwa muda mfupi mfupi na kama vile tulikuwa tunatimiza Wajibu tu?
Endeleeni na Unafiki wenu yaani Wazee wenye Hekima na wanaijua vyema nchi hii tokea Uhuru na msiowapenda mnawatembelea kwa haraka haraka kutimiza Wajibu na Kuondoa lawama ila wale Walioiharibu nchi hii kwa Ufisadi na Kuzitumia Rasilimali za nchi Kujitajirisha mnawatembelea wao kama wao tena na mnakaa nao muda mrefu na Matabasamu ya 'Madili' yakiwatawala tu.
Umejuaje kama wameshtukizwa?Halafu ilikuwaje Lowassa alitembelewa Yeye kwa muda mrefu ila kwa waliofuata ( hasa wa Jana ) wametembelewa tu kwa muda mfupi mfupi na kama vile tulikuwa tunatimiza Wajibu tu?