Ipi ni 'Logical' kuwaita kwa pamoja Mawaziri Wakuu Wastaafu uwasikilize au uwatembelee tu Mmoja Mmoja 'Makwao' kwa Kuwashtukiza?

Hawaki

JF-Expert Member
Mar 29, 2017
720
1,000
Kama unaamini wao wakubwa kwake na wazee wetu , basi hasara ni kuwatembelea sio kuwaita. Kuwaita wazee ni utovu wa adabu
 

samurai

JF-Expert Member
Oct 16, 2010
10,131
2,000
Mara paap ni zamu ya kila mwananchi kutembelewa nyumbani kwake...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom