GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,417
- 108,519
Halafu ilikuwaje Lowassa alitembelewa Yeye kwa muda mrefu ila kwa waliofuata ( hasa wa Jana ) wametembelewa tu kwa muda mfupi mfupi na kama vile tulikuwa tunatimiza Wajibu tu?
Endeleeni na Unafiki wenu yaani Wazee wenye Hekima na wanaijua vyema nchi hii tokea Uhuru na msiowapenda mnawatembelea kwa haraka haraka kutimiza Wajibu na Kuondoa lawama ila wale Walioiharibu nchi hii kwa Ufisadi na Kuzitumia Rasilimali za nchi Kujitajirisha mnawatembelea wao kama wao tena na mnakaa nao muda mrefu na Matabasamu ya 'Madili' yakiwatawala tu.