Ipi ni 'Logical' kuwaita kwa pamoja Mawaziri Wakuu Wastaafu uwasikilize au uwatembelee tu Mmoja Mmoja 'Makwao' kwa Kuwashtukiza?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,068
107,559
Halafu ilikuwaje Lowassa alitembelewa Yeye kwa muda mrefu ila kwa waliofuata ( hasa wa Jana ) wametembelewa tu kwa muda mfupi mfupi na kama vile tulikuwa tunatimiza Wajibu tu?

Endeleeni na Unafiki wenu yaani Wazee wenye Hekima na wanaijua vyema nchi hii tokea Uhuru na msiowapenda mnawatembelea kwa haraka haraka kutimiza Wajibu na Kuondoa lawama ila wale Walioiharibu nchi hii kwa Ufisadi na Kuzitumia Rasilimali za nchi Kujitajirisha mnawatembelea wao kama wao tena na mnakaa nao muda mrefu na Matabasamu ya 'Madili' yakiwatawala tu.
 
Hakuna hata mmoja alitoa ushauri kwa Magu kuhusu nani wa kumtembelea na kwa wakati gani? Kitu ambacho mnatakiwa kufahamu mungu akimjalia tunaweza kuwa nae mpaka 2030.
 
Busara ni kumtembelea mmoja mmoja tena Nyumbani kwake sio kuwaita Ikulu, hapo unapata utulivu lakin pia unapata mawazo yake ya nje ya Camera za media

Mkapa alipoitwa Ikulu akashauri tuache kusema Serikali ya JPM tuseme serikali ya Ccm akikumbusha kuacha ku personalize issue za kiserikali sijui Mama samia sijui Magufuli katuletea billion sita za ujenzi wa hospital, itoshe kusema Serikali ime…

Ilimpunguzia ushawishi Hayati Benja kwa wale wasiopenda kukosolewa hadharan
 
Kikao one by one Tena makazi yao wastaafu Ni Bora zaidi kuwapa Uhuru kufunguka, la muda na taarifa ugeni laweza kuwa hoja waandaaji.
 
Alikwenda kuwajulia hali/afya.
Sasa itakuwaje uwaite ili uwajulie afya.
Wastaafu wakitaka kumjulia Rais watamuona Ikulu
 
Halafu ilikuwaje Lowassa alitembelewa Yeye kwa muda mrefu ila kwa waliofuata ( hasa wa Jana ) wametembelewa tu kwa muda mfupi mfupi na kama vile tulikuwa tunatimiza Wajibu tu?

Endeleeni na Unafiki wenu yaani Wazee wenye Hekima na wanaijua vyema nchi hii tokea Uhuru na msiowapenda mnawatembelea kwa haraka haraka kutimiza Wajibu na Kuondoa lawama ila wale Walioiharibu nchi hii kwa Ufisadi na Kuzitumia Rasilimali za nchi Kujitajirisha mnawatembelea wao kama wao tena na mnakaa nao muda mrefu na Matabasamu ya 'Madili' yakiwatawala tu.
We unajuaje kuwa walistukizwa?au wewe unajuaje madhumuni ya ziara hiyo?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Kuwatembelea mmoja mmoja makwao wakasikilizwa inapendeza zaidi, kama watakuwepo wenye mambo yao private yatakayohitaji privacy watakuwa huru zaidi kuongea na Rais.
 
Eeeeh! Huu sasa ni umbea, sijui husda? Au uchawi kabisa...
Mambo ya hovyo kabisa unageuza mjadala?
 
Ukiwaita wanaweza kujiandaa wakakudondoshea mabomu ambayo unaweza ukashindwa kuyamudu.

Ila ukitembelea mmoja mmoja tena kwa kushtukiza unajua inawafanya wachukulie Personal zaidi Mkuu? Na watabaki wanakushukuru kwa kuwakumbuka..
 
Halafu ilikuwaje Lowassa alitembelewa Yeye kwa muda mrefu ila kwa waliofuata ( hasa wa Jana ) wametembelewa tu kwa muda mfupi mfupi na kama vile tulikuwa tunatimiza Wajibu tu?

Endeleeni na Unafiki wenu yaani Wazee wenye Hekima na wanaijua vyema nchi hii tokea Uhuru na msiowapenda mnawatembelea kwa haraka haraka kutimiza Wajibu na Kuondoa lawama ila wale Walioiharibu nchi hii kwa Ufisadi na Kuzitumia Rasilimali za nchi Kujitajirisha mnawatembelea wao kama wao tena na mnakaa nao muda mrefu na Matabasamu ya 'Madili' yakiwatawala tu.
Lowasa sio Waziri Mkuu mstaafu. Yeye alitimuliwa na bunge kwa kushindwa kuisimamia serikali zama za bunge hasa la Sita. Huku kuna Seleli hapa kuna Slaa pembeni yupo Zitto Kabwe kisheti anasimama Mwakyembe dimba la chini yupo Stela Manyanya.
 
Hivi washauri wa Mtemi Hangaya ni akina nani ukimuacha waziri Mohammed Mchengerwa?
Hakuna rais aliyetangulia aliyefanya vituko hivi?
 
Halafu ilikuwaje Lowassa alitembelewa Yeye kwa muda mrefu ila kwa waliofuata ( hasa wa Jana ) wametembelewa tu kwa muda mfupi mfupi na kama vile tulikuwa tunatimiza Wajibu tu?

Endeleeni na Unafiki wenu yaani Wazee wenye Hekima na wanaijua vyema nchi hii tokea Uhuru na msiowapenda mnawatembelea kwa haraka haraka kutimiza Wajibu na Kuondoa lawama ila wale Walioiharibu nchi hii kwa Ufisadi na Kuzitumia Rasilimali za nchi Kujitajirisha mnawatembelea wao kama wao tena na mnakaa nao muda mrefu na Matabasamu ya 'Madili' yakiwatawala tu.
Umejuaje kama wameshtukizwa?
Ni heshima sana mdogo kumtembelea mtu mzima kuliko mtu mzima akutembelee. Sawa na wewe kumtembelea baba yako!
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom