iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

Nimeshafanya hivyo shida inakuja email ndo inaenda kwenye hiyo id sasa naipataje wakati nikita ku login inasema account locked.. Nataka nijaribu kuwasiliana nao help desk moja kwa moja nione itakuaje

Sent using Jamii Forums mobile app
So wewe unatumia apple id yako ikiwa ni email ya icloud?
I dont think apple they are that stupid watume recovery link kwenye email ambayo wameiblock.
So email yako ni ....@icloud.com?
 
So wewe unatumia apple id yako ikiwa ni email ya icloud?
I dont think apple they are that stupid watume recovery link kwenye email ambayo wameiblock.
So email yako ni ....@icloud.com?
Yeah ndo hiyo hiyo mkuu.. Nilifungua mda mrefu kidogo na wakati nafungua nilikuwa najua ni lazima nitumie @icloud.com kumbe sio lazima.. Saiz ndo hiyo ipo locked sababu kuna mda mrefu niliacha kuitumia sasa nilipokuja kutumia tena ikawa kila nikiweka password nakosea sku nakuja kukumbuka tayari washa lock na email ndo hiyo hiyo...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilishajaribu hii pia hakuna msaada..

Sent using Jamii Forums mobile app

Uza spea hakuna namna hapo hawa ndio apple wanataka watu walio smart haswa na ndio balaa la kua smart mie maswali na takataka zote nazikumbuka na kuna mahala nimeandika yan hua sifanyi kosa na hawa jamaa they need uwe smart haswa na iDevice zao ndio ninachowapendea.
 
Wapi naweza kubadilisha betri ya iPhone 5 na kwa bei gani hapa Dar?
 
Hivi ni apps gani must have kwenye iphone yoyote ile au zipi ni best iphone apps of all the time haswa za free

Kwangu Mimi video cache inanirahisishia sana ku download videos mbalimbali YouTube na kwingineko,Mimi ni mpz wa ku download lakini downloader nyingi zilikuwa zinanizingua ila hapo nimefika.
Nina flash ya iDiskk application yake naitumia kuhamisha documents kati ya simu na simu bila kutumia computer,music player na pia ku share audio au video ktk Mitandao mbali mbali kwa wepesi zaidi.kwa sasa hakuna ninachomis kutoka android completely.
 
Bro samahan naomba share link ya iyo video cache niweze ipata playstore maana nmeisearch lkn cjaiona nataka ni download
 
Nenda instagram mtafufe@inauzwa

Sent using Jamii Forums mobile app

IMG_2936.jpg
 
Back
Top Bottom