jimmymziray
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 816
- 515
Bye bitch!
Huna jipya just hating on BS. Kanunue tecno huna uwezo wa iphone wewe. Now to the left and suck your middle finger.![]()
Haiwezekani mkuuWakuu naomba mwenye utaalamu wa ku upgrade iPhone yenye 16 gb iwe na uwezo hata wa 60gb au zaidi.
Haiwezekani mkuu
Inawezekana mkuu kwa wataalamu, angalia utube utaona, hata kuweka signal light inawezekana
Mkuu usiamini kila unachojiona youtubeInawezekana mkuu kwa wataalamu, angalia utube utaona, hata kuweka signal light inawezekana
Wakuu naomba mwenye utaalamu wa ku upgrade iPhone yenye 16 gb iwe na uwezo hata wa 60gb au zaidi.
Ios 10.3.3 is officially out today,download it
Fanya ku restart itakubaliWadau mie simu yangu iPhone 6. Leo imegoma kutoa sauti, bila sababu ya msingi. Jana niliiwekea nyimbo kwa kutumia laptop. Sasa hivi hata nikipigiwa sauti haitoki wala haivibrate. Naomba msaada wenu
watu wanapenda show off..unanunua simu ya milioni na zaidi na bado inakutawala..
Sent using Jamii Forums mobile app
Battery Za iPhone 5s shillings ngapi wakuu?
Haya majitu bhana. Ukitaka kudowload eti nimpaka utumie wifi? [HASHTAG]#wtf[/HASHTAG]
uitawale simu...overall kutumia iphone sio ujanja kiivo kwa watu wanaojua tech kwel..sema wauza sura kama wewe ambaye simu yenyewe umeongwa ndo mnaona dili..Ulitaka imtawale nan sasa....sasa milion ni pesa ya kuogopa.?