iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

Security is my number 1 priority baba ake usipanik na kua friendly user hapa ndo kwao hyo 3G nimeitumia enz zile huna hata demu nimeitumia 3G mwaka 2008 mwezi wa 11.hapa nilipo nina iphone 7 zipo 2 moja nimeiweka tu kwa box pia nina almost gadget zote za apple from tablet laptop watch na vinginevyo huniambii kitu.Teamapple baby kila mwaka nahis nakua mtz wa kwanza kua na sim zao zikitoka hua sijali bei.

Nakuja unipe hyo moja ulioiweka tu
 
Marafiki zangu habarini
Naomba msaada wenu natumia iPhone 6s
Baada ya Apple kutoa iOS ya 11 nami nikai-update yangu kutoka 10 kwenda hiyo ya 11
Kiukweli kutoka moyoni mwangu najuta
Je hamna namna ya kurudi ile iOS ya 10 tena?
Msaada tafadhali
 
Kwanini unajuta mkuu?
Kuna tatizo gani na ujue lazima u-update usipo update baada ya muda utakuwa unapata errors nyingi kutoka kwa apps mbalimbali.
Kurudi nyumba haiwezekani labda uwe ulisave shsh blob kabla ya kufanya hiyo update
 
Kiukweli nikushukuru sana Ila ktk hii iOS ya 11 kuanzia muonekano wa simu inavyokuwa ni mbaya naamini hadi utendaji kazi wake huenda ndiyo maana iliwachukua wiki 1 kutoa ile ya 11.0.2 na sasa wapo 11.0.3 naamini hata wao wanajua kabisa kuwa ktk hii kuna dosari
 
Mkuu wewe ni mgeni kwa iphone? Uwa ios inaweza kuwa na errors so wata release updates mara kwa mara kufix error na security holes mpaka ikae sawa.
Personally sijafanya update bado niko 10.3.3 ila soon nita update sijapata wireless nzuri.
Ofcourse inaelekea ina bugs bado subiri kama after mwezi watoe updates za kutosha mpaka ikase sawa na mimi ndipo nta update
 
Mkuu wewe ni mgeni kwa iphone? Uwa ios inaweza kuwa na errors so wata release updates mara kwa mara kufix error na security holes mpaka ikae sawa.
Personally sijafanya update bado niko 10.3.3 ila soon nita update sijapata wireless nzuri

Hahahahaha Nope sio mgeni na pia naamini nawe unatumia hiyo ya 10 sasa siku ukiingia hii ya 11 utanambia tu
But kwa sasa wewe endelea tu na hiyo ya 10
 
Ina bugs ndiyo, huwezi kurudi mkuu kama hukusave shsh blob.
Sema wape mwezi tu wafix hizo bugs maana naona soon watatoa release ya 11.04 naona wana update kuondoa bugs then itakuwa sawa tu.
Kuhusu muonekani ni upya tu maana watu tunapenda tumia tulivyozoea sana kama windows 8 ilivyopata shida kisa watu wamezoea 7
 
Ahsante sana rafiki ila Nina tatizo jingine tena but ktk Simu yangu ya pili iPhone 4s yenye line ya Voda
Hii Simu mwanzo ilikuwa sawa but ikaja kupata tatizo la touch
hivyo Jana nikabadili
huwa zinauzwa complete display + touch
Sasa tangu niweke iwekewe hichi kioo
Niliweka Line yangu kama kawaida but tangu Jana hadi leo ina
b787f0d22ea1ea6e3f8182eb670c5fe0.jpg

Inaandika SEARCHING
961927f2e53f573c1fa6cad707b7f06e.jpg

Upande wa carrier inatambua kuwa ni Vodacom
Mtu akiipiga hii line atasikia Simu ikiita but Mimi Simu wala haioneshi kitu chochote wala hata missed call sioni
ipo tu kawaida
 
Back
Top Bottom