kiboboso
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 9,351
- 12,687
Ulitaka tutumie Shemeji au mama mkwe.?
Inamaana hamna plan b hapa mkuu?
Ulitaka tutumie Shemeji au mama mkwe.?
uitawale simu...overall kutumia iphone sio ujanja kiivo kwa watu wanaojua tech kwel..sema wauza sura kama wewe ambaye simu yenyewe umeongwa ndo mnaona dili..
Sent using Jamii Forums mobile app





na mie natumia iphone kwa mapenz yangu na pesa zangu endelea kupenda vya bure ka wakiume watakupaka mafuta ya cherehani shaur akoIvi tecno ni simu
Inamaana hamna plan b hapa mkuu?![]()
Tafuta plan KLM..... sie tushashusha mda hyo kitu vipi ndo umenunua jana hyo simu
kumbe na wewe umepakuliwa huko 0713 ndo ukapewa hio simu,ndo maana unaleta hizo habari..tamaa itakumaliza wewe mama..Kee kee kee kee kee ushamaind ila hajanionga baba ako natumia iphone since 2007 huna jipya babake endelea kutumia sim upendazo wewe coz ujawekewa wembe kwnye hyo natina mie natumia iphone kwa mapenz yangu na pesa zangu endelea kupenda vya bure ka wakiume watakupaka mafuta ya cherehani shaur ako
Hilo jibu au dongo mkuu?
kumbe na wewe umepakuliwa huko 0713 ndo ukapewa hio simu,ndo maana unaleta hizo habari..tamaa itakumaliza wewe mama..
Sent using Jamii Forums mobile app










Vipi kwa ipad wakuu msaada upo? Mi wamenilock apple id nilikuwa wa nakosea kuweka password sasa inataka ni unlock apple id kwanza kwa kutumia email au security questions.. Sasa kwenye email ndo wanatuma email kwenye address hiyo ambayo ipo locked na security questions nakumbuka chache swali linaloanza skumbuki niliweka nini.. Nilijaribu ku reset kwa kutumia itune ila kwenye kuset upya ipad inataka lazima uweke hiyo apple id kwanza na kila nikiweka inaniambia ni unlock kwanza..
Sent using Jamii Forums mobile app
nani kakuambia anataka kutumia simu za ovyo..ndo maana hata korea wamezipiga marufuku..Kwi kwi kwi kwi jaribu na weye upewe Lexus na Iphone 7 ingawa next 2 month's itatoka 7s so keep it trying wayeyushe tundu la ignition hyo.leo nafua mpaka magunia ya mkaa![]()
nani kakuambia anataka kutumia simu za ovyo..ndo maana hata korea wamezipiga marufuku..
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Sjasema nimesahau nimesema nilikuwa nakosea kuweka sasa nilipokuja kuweka sahihi ikawa locked tayari na ile recover email inaenda huko huko kwenye locked id.. Security questions baadhi nnauhakika nazo ila swali linaloanza (birthday) skuweka ya ukweli wakati nafungua id na ndo siikumbuki ila mengine nayakumbuka sasa ukikosea swali la kwanza tu huwezi kuendelea ndo shida..Email paswed ake umesahau? security question umesahau kauze kariakoo ilo kopo na pole kwa kua kichwa maji
Irestore kwa kutumia comp ambayo ina itunes na ambayo ulikuwa waitumia kuifanyia back up au kusync nayo...Sjasema nimesahau nimesema nilikuwa nakosea kuweka sasa nilipokuja kuweka sahihi ikawa locked tayari na ile recover email inaenda huko huko kwenye locked id.. Security questions baadhi nnauhakika nazo ila swali linaloanza (birthday) skuweka ya ukweli wakati nafungua id na ndo siikumbuki ila mengine nayakumbuka sasa ukikosea swali la kwanza tu huwezi kuendelea ndo shida..
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
nina shida na charge system ya iphone 5
Nilishajaribu hiyo pia.. Shida ikisharestore inabidi u set upya ipad ambapo inataka kwanza uweke id ile ile na nikiweka bado inakwambia id ipo locked ingawa password sahihi ninayo ila mpaka ni unlock id kwanza.. Na siwezi ku create id mpya ndo shidaIrestore kwa kutumia comp ambayo ina itunes na ambayo ulikuwa waitumia kuifanyia back up au kusync nayo...
Oooh nimeshakuelewa hapo la kufanya ingia website ya icloud kwenye pc fanya kama unasign watakwambia iko blocked watakutumia link kwenye email ya ku unlock hiyo id yako.Nilishajaribu hiyo pia.. Shida ikisharestore inabidi u set upya ipad ambapo inataka kwanza uweke id ile ile na nikiweka bado inakwambia id ipo locked ingawa password sahihi ninayo ila mpaka ni unlock id kwanza.. Na siwezi ku create id mpya ndo shida
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeshafanya hivyo shida inakuja email ndo inaenda kwenye hiyo id sasa naipataje wakati nikita ku login inasema account locked.. Nataka nijaribu kuwasiliana nao help desk moja kwa moja nione itakuajeOooh nimeshakuelewa hapo la kufanya ingia website ya icloud kwenye pc fanya kama unasign watakwambia iko blocked watakutumia link kwenye email ya ku unlock hiyo id yako.
Uwa inatokea ukifanya many incorrect entries