iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

Hivi ni apps gani must have kwenye iphone yoyote ile au zipi ni best iphone apps of all the time haswa za free
 
Mimi nina iOS na android mkuu najua nikiandikacho, i phone natumia kwa mengine machache sana but android ndio naitumia almost kwa kila kitu, tatizo mnapenda show off, kuwa na iphone ushaona deal sana

Hata mie iPhone natumia nina kaz zangu nyingi sana ambazo naingiza pesa kuliko android Utumiaji wa sim kila mtu ako na kitu anapenda either ios au android so me iOs inanifaa sana since 2008 natumia iOS pia ukiacha hvo nlkua natumia iPod zao since 2004 so nikaanza wapenda hapo hapa nina kila kitu chao kasoro zile desktop zao ila sim ipod ipad macbook air apple watch ninavyo mie Teamapple
 
Kwa lipi ambalo unadhani au kwakuwa unatumia iphone basi unaona ushamaliza kazi, iphone ni tofauti upande wa security tuu ila ukizungumzia uhuru wa kuitumia simu utakavyo iphone hovyo kabisa hala usikute unatumia iphone 3g

Security is my number 1 priority baba ake usipanik na kua friendly user hapa ndo kwao hyo 3G nimeitumia enz zile huna hata demu nimeitumia 3G mwaka 2008 mwezi wa 11.hapa nilipo nina iphone 7 zipo 2 moja nimeiweka tu kwa box pia nina almost gadget zote za apple from tablet laptop watch na vinginevyo huniambii kitu.Teamapple baby kila mwaka nahis nakua mtz wa kwanza kua na sim zao zikitoka hua sijali bei.
 
Sijakuelewa, eti unakuwa mtanzania wa kwanza kuwa na simu zao? Au ulikosea kuandika
 
Msaada kwa anaejua hii..nmejarib kusign in kwa account yangu kuna sehem nmefika imeniambia ivo maana yake nin?
4ec28cd9880d4804d521fd85b6347b85.jpg
 
Usijali, safari hii nitakupa iphone 7 ila kapigwe bomba kwanza maana sitaki kuelea

Hahaa, unajiona mjaaanjaaaa wee una uwezo wa kunipa iPhone 4 tu achia mbali 7 wewe???? Lmao!!!! Kalale ukue akili uache ujinga!
 
Ndio kawaida yenu mkihongwa mnaleta kashfa oooh ana kibamia, let 0713 upate iphone 7 mtoto usiwe na maneno ya kisiasa kwenye mambo ya mabizness na mabiashara
 
Bye bitch!

Huna jipya just hating on BS. Kanunue tecno huna uwezo wa iphone wewe. Now to the left and suck your middle finger. ✌
 
Back
Top Bottom