Bro samahan naomba share link ya iyo video cache niweze ipata playstore maana nmeisearch lkn cjaiona nataka ni download

Sijaweza ku share link lakini angalia hapo kisha search upate kuitambua

Asante bro nmeiona nashkru![]()
Nunua iCloud storage kutoka appleWakuu naomba mwenye utaalamu wa ku upgrade iPhone yenye 16 gb iwe na uwezo hata wa 60gb au zaidi.
Acha mawazo ya kimasikini ndugu, we unaona milioni ni hela kubwa sana!?watu wanapenda show off..unanunua simu ya milioni na zaidi na bado inakutawala..
Sent using Jamii Forums mobile app
Reset password kwa kutumia alternative email ulijaza kama backup ya kurescue password unapokuwa umesahau, ni vizuri ukatunza kumbukumbu zako muhimu kama upo serious kila unapofungua account yoyoteVipi kwa ipad wakuu msaada upo? Mi wamenilock apple id nilikuwa wa nakosea kuweka password sasa inataka ni unlock apple id kwanza kwa kutumia email au security questions.. Sasa kwenye email ndo wanatuma email kwenye address hiyo ambayo ipo locked na security questions nakumbuka chache swali linaloanza skumbuki niliweka nini.. Nilijaribu ku reset kwa kutumia itune ila kwenye kuset upya ipad inataka lazima uweke hiyo apple id kwanza na kila nikiweka inaniambia ni unlock kwanza..
Sent using Jamii Forums mobile app
Umewaza kama mimiLugha za kimaskini hizi duh..be positive mate
Ingiza password ya iCloud password kama hukumbuki fanya kurest hiyo password au kama simu siyo yako ndo imekula kwakoJinsi ya kuirestore iphone kwa njia ya kureset inanidai ID password sasa ni password zipi hizo na nazitoa wapi!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha mawazo ya kimasikini ndugu, we unaona milioni ni hela kubwa sana!?
Jaribu line ingine pia hyo sim ulitoa wap.??Wakuu iphone 5s haisomi line inaandika "searching" nishaazima na kuiwasha still haisomi mtandao, msaada tutani. @Jestilla
Jaribu line ingine pia hyo sim ulitoa wap.??Wakuu iphone 5s haisomi line inaandika "searching" nishaazima na kuiwasha still haisomi mtandao, msaada tutani. @Jestilla
Wakuu iphone 5s haisomi line inaandika "searching" nishaazima na kuiwasha still haisomi mtandao, msaada tutani. @Jestilla
Iphone 4 unlocked.... 180k... Used...
Usipate tabu kuhangaika na locked iphones... Njoo upate iphone unlocked
IOS 11 is out! Kazi kwako unahitaji tu. Wi-fi