iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

Karibia ya 85% ya watumiaji wa smartphone marekani wanatumia iphone na wengi wenye hzo status unazosema ww wanatumia window mobile kuliko iphone, halafu kumbuka watu wengi wenye status kubwa kuibiwa simu ni nadra sana kutokana na ukweli ulio wazi kuwa maeneo wanayojichanganya ni ya watu wenye almost the same status, pia kwa ustatus wao hawaogopi kuibiwa cmu cuz they can buy new one, pia km una bima ukiibiwa unapewa nyingine, hvyo hizo mambo za icloud zipo sana kwa nyie wa low status ambao mkiibiwa simu mpk kununua nyingine watoto hawali nyama mwaka mzima, kwanza watu wenye status kubwa simu zao haziwekwi password, mfano mzuri mimi, sijawahi weka pasword kwenye simu ya na sifikirii na sijawahi ibiwa simu

Aiseeee we utakua ndugu yangu, masibhotaa! Karibu Kyerwa
 
Hii yangu tofauti mkuu.. option inakuwepo ila once napo insert line ya hao jamaa wa halotel inapotea...nikirudisha line ya vodacom options zinarudi

Iphone haikubali chochote feki
Sasa angalia hio line yako inatatizo huenda ulipoinunua hawa kui upgrade hio line
Wala usiwalaumu kampuni ya halotel
Kifupi nenda kanunue line ya halotel kwa wahusika maalum usinunue za kutembezwa
 
Wakuu habari naomba kujuzwa bei ya iphone 6used iliykatikahali nzuri na pia je nimewahi tumia iphone 5s tu .je hii iphone 6 ni kubwa kuliko 5s kwa upanana size ya kioo ?Na pia inapata update iliypo sasa hivi

Mpigie hiyu 0652472486
 
Msaada i phone yangu 4s gb 32 nyeupe haina mchubuko betri inapata moto sana ukiwasha data hasa ukiwa unatumia afu betr halikawii kwisha alafu ukichaji ikiwa inawaka haiingiz mpaka uzime sasa naomba kujua yafuatayo

Nataka kujua bei ya betri na ya fundi
Maeneo gan naweza pata hyo huduma ikiwa tatzo ni betr

Usb
 
Iphone haifananishwi na mbwa wengine achana nayo kabsaa


Kwa lipi ambalo unadhani au kwakuwa unatumia iphone basi unaona ushamaliza kazi, iphone ni tofauti upande wa security tuu ila ukizungumzia uhuru wa kuitumia simu utakavyo iphone hovyo kabisa hala usikute unatumia iphone 3g
 
Ushaanza tena kifo vs iphone we kweli team android af umeingia huku choo cha....


Mimi nina iOS na android mkuu najua nikiandikacho, i phone natumia kwa mengine machache sana but android ndio naitumia almost kwa kila kitu, tatizo mnapenda show off, kuwa na iphone ushaona deal sana
 
Back
Top Bottom