iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

Nina Iphone 6s tatizo haitaki kuswitch on wifi na bluetooth haieleweki kabisa. Mwenye kujua solution au wapi naweza itengeneza msaada tutani
 
d412d60a93e2987e9ff676ac551de524.jpg


Hii cm imeingizwa pw kimakosa zaidi ya mara tatu naomba nisaidieni jamani. Ni leo tu imegoma!!

Download new ios af weka itunes kwa computa ako then ukishusha ios ingiza manually na itunes itawipe lakin data zako zote na kama ulifanya back up ya data zako kwa computer au icloud utazirudisha itakua poa
 
Kuna Ipad hapa umeishia kwenye ile logo ya apple + white screen kuna aliyewah fix hii kitu,


Sent from my TECNO F5 using JamiiForums mobile app

Connect na computer the hold home button na ile off/On button kwa pa1 then itakwambia inataka nin hold kwa sekunde kadhaa mpaka izime yenyewe
 
Iphone yangu nkiwa katika mkoa wa baridi betri inapata sana baridi na ku drain fasta sana na sehemu ya joto inapata sana joto na ku drain betri. Kuna aliekutana na kinda situation? How solved maana imekua like desk-phone.

Tupa betri nunua jengine na unatumia iphone ipi.?
 
Download new ios af weka itunes kwa computa ako then ukishusha ios ingiza manually na itunes itawipe lakin data zako zote na kama ulifanya back up ya data zako kwa computer au icloud utazirudisha itakua poa
Nishapeleka studio Tena, ila ahsante
 
iPhone 5s
Kijivu,
nyeusi,
rose gold,
nyeupe,

mwenye kujua wapi zinauzwa mpya kwa hapa bongo, ( dar es salaam )

Anijuze nahitaji kununua hiyo simu.
 
iPhone 5s
Kijivu,
nyeusi,
rose gold,
nyeupe,

mwenye kujua wapi zinauzwa mpya kwa hapa bongo, ( dar es salaam )

Anijuze nahitaji kununua hiyo simu.

Unaonekana tu zitakushinda hata kutumia mana kama hujui zinakouZwa n shida wewe
 
Hiyo i cloud lock inatoka tena kabisa, iphone zote zinazotumia ios 6 kushuka chini zina uwezokano wa kufunguliwa icloud kwa kutumia IMEI namba tuwasiliane 0714648822
Sasa hizo si zitakuwa 5, 4s, 4 maana iphone 6 imetoka tayari ios 7 iko tayari
 
marekani bna ame plan kucontrol ulimwengu tu mana ametengeneza most expensive equipment Apple devices na kuzipandikiza firmware za spy akijua fika wataoweza afford kununua ni watu wenye status ya juu ambao ndio controller wa society mfano politicians,Lawyers, Engineers na doctors anajua fika aki wapekua watu hawa atapata usefull info through mawasiliano yao na kaweka security kali kabisa i cloud yani mean ata kibaka apole atarudisha kwa owner au atupe mpaka sasa kujail break I cloud ni changamoto kwa developer kwa kweli marekani anaona mbali sana



Karibia ya 85% ya watumiaji wa smartphone marekani wanatumia iphone na wengi wenye hzo status unazosema ww wanatumia window mobile kuliko iphone, halafu kumbuka watu wengi wenye status kubwa kuibiwa simu ni nadra sana kutokana na ukweli ulio wazi kuwa maeneo wanayojichanganya ni ya watu wenye almost the same status, pia kwa ustatus wao hawaogopi kuibiwa cmu cuz they can buy new one, pia km una bima ukiibiwa unapewa nyingine, hvyo hizo mambo za icloud zipo sana kwa nyie wa low status ambao mkiibiwa simu mpk kununua nyingine watoto hawali nyama mwaka mzima, kwanza watu wenye status kubwa simu zao haziwekwi password, mfano mzuri mimi, sijawahi weka pasword kwenye simu ya na sifikirii na sijawahi ibiwa simu
 
Back
Top Bottom