naan ngik-kundie
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 1,766
- 2,437
Jamani kwa anayeweza kunisaidia kufungua apple account anisaidie maujanja ya kufungua bila kulipia maana ninejaribu kigumu gum imekataa nikienda kwenye email kufanya verification inaniambia user name incorect, atakayeweza kunisaidia kufungua bila malipo itakua poa sana