iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

Msaada i phone yangu 4s gb 32 nyeupe haina mchubuko betri inapata moto sana ukiwasha data hasa ukiwa unatumia afu betr halikawii kwisha alafu ukichaji ikiwa inawaka haiingiz mpaka uzime sasa naomba kujua yafuatayo

Nataka kujua bei ya betri na ya fundi
Maeneo gan naweza pata hyo huduma ikiwa tatzo ni betr
 
Vp akiiweka ile find my iPhone off itakuwaje?

Huwezi ku-sign out iCloud account bila ku-turn off Find my iPhone, pia huwezi ku-turn off Find my iPhone bila kuingiza iCloud account password.

Huwezi sign-out iCloud account bila kuingiza iCloud account password.

Hapo ndipo Apple walipotisha katika security ya iPhone devices.
 
Huwezi ku-sign out iCloud account bila ku-turn off Find my iPhone, pia huwezi ku-turn off Find my iPhone bila kuingiza iCloud account password.

Huwezi sign-out iCloud account bila kuingiza iCloud account password.

Hapo ndipo Apple walipotisha katika security ya iPhone devices.

Kumbe? Mimi ya kwangu iliibiwa nikaifunga lost mode halafu nikawa namtafuta mwizi wangu mdogo mdogo huku nikimtumia message kwenye ile simu, mbona aliirudisha mwenyewe?
 
Vipi simu hii ya tecno camon cx chaji na madhaifu yake wadau

Sent from my HUAWEI LUA-L21 using JamiiForums mobile app
 
Iphone yangu nkiwa katika mkoa wa baridi betri inapata sana baridi na ku drain fasta sana na sehemu ya joto inapata sana joto na ku drain betri. Kuna aliekutana na kinda situation? How solved maana imekua like desk-phone.
 
Kama simu ikiiibiwa ili niliilocate lazima mtumiaji aweke line yake,je inanipasa nisiweke lock screen maana ikiwepo hawezi weka line yake???
 
Kuna Ipad hapa umeishia kwenye ile logo ya apple + white screen kuna aliyewah fix hii kitu,


Sent from my TECNO F5 using JamiiForums mobile app
 
Kee kee kee kee kee ushapanic na povu la foma gold uza hyo sim we mbwa unatumia iphone 4 2017 we kenge tena mjane wenzio tuna iphone 7 sasa hv october tunachkua 7S nyau mtoto we af mtu mzima unakuja uliza kesi za 2010 hapa a mie Dada baba ako ndo ananijua
Jest killa ujue picha yako ndio screen saver ya simu yangu
 
d412d60a93e2987e9ff676ac551de524.jpg


Hii cm imeingizwa pw kimakosa zaidi ya mara tatu naomba nisaidieni jamani. Ni leo tu imegoma!!
 
Back
Top Bottom