iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

Sasa huyo anakuhusu nini weye nunu simu yako ambaa zako,weye wataka kujua hata huyo utayaweza?????,Mfano mzuri wenye maduka wote tunawajua matendo yuao????lakini kwa kuwa sisi hatuna haja na matendo yao sisi tuna hata na bidhaa zao tu kwisha habari.
Anamaanisha yule punga aka CEO
 
Kuhusu icloud lock hakuna anayeweza kutoa mimi hapa niliibiwa simu yangu ngara kwa msaada wa icloud niliipatia nzega maeneo ya kitangili bila shida kabisa,na mimi siku watu watakapogundua namna ya kuitoa hiyo lock nitabadiri simu ninunue simu aina nyingine.
 
kumekuwa na post nying kuhusiana na iphone, uzi huu n maalumu kwa ajili ya mambo yote yahusuyo iphone na brand zote za aple. tupi maswal ama maujanja kuhusu @ios na mambo mengine
HADI MDA HUU HUTUJAPATA UFUMBUZI WA HAKIKA WA KUTOA I CLOUD EPUKA MATAPEL wataalamu karibun

Mm nina 4s inanizingua netwek baLaaa@@nn ttzo mkuu
 
Kwa wale wenye simu zinazopata iOS 9 halafu zilikuwa zinapata error wakati wa kudownload kwa sasa tatizo limeshatatulia unaweza kupakua iOS 9.0.1
 
Kuhusu icloud lock hakuna anayeweza kutoa mimi hapa niliibiwa simu yangu ngara kwa msaada wa icloud niliipatia nzega maeneo ya kitangili bila shida kabisa,na mimi siku watu watakapogundua namna ya kuitoa hiyo lock nitabadiri simu ninunue simu aina nyingine.

hahaa aple bdo watawakazia sana wahun wanao taka kutoa i cloud ,huwa najiuliz hawa ma hacker hawajawai kukutana il wamaliz hl tatzo la i device na privacy zake? ama na wao wanatmia i phone.
 
Mm nina 4s inanizingua netwek baLaaa@@nn ttzo mkuu

Inaeza kuwa imefkia time imechoka .ama n ya zaman kdogo, mim ilinisubua kweny netwk sana kuna time ilikuwa inakuja alaf inakata.sikufanikiwa kulitatua ilinibp kuipg bei.
 
tusaidian jnsi ya kufungua apple acc bila kuwa na master card ama visa Paul S.S kama kuna option nyingine karibun tujadil#bavaria #MKWAWA mwagen maujuz yen

Kufungua apple account ni lazima uweke credit card ambayo imewezeshwa kununua vitu kwenye mtandao.

Kuna apps ambazo zinauzwa, na huwezi kuzinunua hadi uweke hiyo master card yako.

Kwahiyo ni lazima ufanye hivyo la sivyo account yako haiwezi kuwa complete.
 
Hivi ni bora kununua iPhone bongo hapa hapa au kuagiza? Je vipi ubora wa iPhone 6 zinazopatikana kwenye iStore ya Mlimany City na kama kununua hapa TZ unashauri maduka gani yana iPhone au.vifaa vya apple vizuri.

Au unaweza kununua vifaa vya apple kupitia elite computers.

iphone zote ni sawa ya Mcity na ya kuagiza.

Unaweza kuagiza ila unatakiwa kulipia kodi.

Unaweza kuagiza kupitia apple.com ila hawakubali ku-ship kwenye address za P.O.Box, lazima uwe na courier agent wa kukupokelea mizigo yako US then yeye ndio akutumie.
 
Na siku nitakayosikia iDevices zimeanza kuchakachuriwa kirahisi nitawapa mkono wa bye bye Apple

Hata hao apple wanajua hilo na lazima wana back up plan ya kuupgrade security.

Siku wakiweza kuchakachua basi apple watakuja na security zaidi ya apple cloud.
 
hahaa aple bdo watawakazia sana wahun wanao taka kutoa i cloud ,huwa najiuliz hawa ma hacker hawajawai kukutana il wamaliz hl tatzo la i device na privacy zake? ama na wao wanatmia i phone.

Wakiweza ku-hack wewe itakusaidia nini kwa mfano?

Si ndio wizi wa simu za apple utaongezeka?
 
marekani bna ame plan kucontrol ulimwengu tu mana ametengeneza most expensive equipment Apple devices na kuzipandikiza firmware za spy akijua fika wataoweza afford kununua ni watu wenye status ya juu ambao ndio controller wa society mfano politicians,Lawyers, Engineers na doctors anajua fika aki wapekua watu hawa atapata usefull info through mawasiliano yao na kaweka security kali kabisa i cloud yani mean ata kibaka apole atarudisha kwa owner au atupe mpaka sasa kujail break I cloud ni changamoto kwa developer kwa kweli marekani anaona mbali sana
 
Kufungua apple account ni lazima uweke credit card ambayo imewezeshwa kununua vitu kwenye mtandao.
kuna mda nlijaribu kuweka credit card ikawa inagoma na kulikuwa na hela ikabd ni tafte jnsi ya kuifungua bila credit card, kuna jamaa alinisaidia ila sijui alifanyaj
Kwahiyo ni lazima ufanye hivyo la sivyo account yako haiwezi kuwa complete.
UKi google kuna sehem wanaelezea ila ina ka ugum flan,pia hata aple kuna apps nying za bure rio zote n za kununua
 
Kwangu kuna tatizo lilijitokeza kwenye imoges za watsapp kama smile, love .etc kuto onekana yan nilikuwa siwez kuweka ka imag kutoka watsapp je amby alisha pata tatizo la namna hi!
solution ake nili download watsapp imoges i store ikakubal
 
UKi google kuna sehem wanaelezea ila ina ka ugum flan,pia hata aple kuna apps nying za bure rio zote n za kununua

Inategemea na taste yako mkuu.

Kama unaona kuna apps za bure zinakidhi mahitaji yako ni sawa tu.
 
Inaeza kuwa imefkia time imechoka .ama n ya zaman kdogo, mim ilinisubua kweny netwk sana kuna time ilikuwa inakuja alaf inakata.sikufanikiwa kulitatua ilinibp kuipg bei.

hata mimi niko na iphone 4s nimeupdate kuwa na 9.0.2 jana inasumbua sana mtandao ikisoma inaonyesha salio tu ukipiga simu azitoki ukipigiwa aziingii nimetoa kurudisha haisomi tena network ni no service mpaka muda huu nimesha reset net work imegoma nimerest kila kitu bado sijui hata sida nini msaada mwenye kujua ufumbuzi wa hii kitu
 
Back
Top Bottom