iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

Lakini je heshima unayopata kwa wewe unavyojiona unastahili ama ndo ile ukimilki gari kama vile mie kijijini kwetu naonekana tajiri lakini ukweli ninao moyoni....ahaaaa!!

Heshima haitokani na simu ila wao wametia adabu, baada ya kuona nmekuja kivingine kwenye huu ulimwengu wa technology. Last time nilikuwa na asus zenfon 2 .wakawa hawaielewi
 
Inategemea na aina ya iPhone
Kama iPhone SE,iPhone 5,5s,4,4s zina ukubwa mdogo mfukoni zinaingia vizuri tu
IPhone zote zinaingia mfukoni mkuu labda plus model.

Nilikuwa nataka kujua zile swaga za kushikilia simu masaa yote ili watu waione.
 
Wakuu Salaam,
Naomba kuuliza, nawezaje kupata Domain name ya uhakika for free or kwa malipo kidogo kwaajili ya kutengeneza website ya advertisement?
 
Wadau mie simu yangu iPhone 6. Leo imegoma kutoa sauti, bila sababu ya msingi. Jana niliiwekea nyimbo kwa kutumia laptop. Sasa hivi hata nikipigiwa sauti haitoki wala haivibrate. Naomba msaada wenu
 
Wakuu habari naomba kujuzwa bei ya iphone 6used iliykatikahali nzuri na pia je nimewahi tumia iphone 5s tu .je hii iphone 6 ni kubwa kuliko 5s kwa upanana size ya kioo ?Na pia inapata update iliypo sasa hivi
 
iPhone 6 ni kubwa kidogo kulinganisha na 5s ingawa ukubwa wake ni wastani.updates inapata na itaendelea kupata ila kama ulitumia 5s usitarajie kuona tofauti kubwa sana ktk 6.
 
iPhone 6 ni kubwa kidogo kulinganisha na 5s ingawa ukubwa wake ni wastani.updates inapata na itaendelea kupata ila kama ulitumia 5s usitarajie kuona tofauti kubwa sana ktk 6.
Bei zake zimekaaje mkuu na pia kiwastan yaweza kua sawa na tekno w3ukubwa wa umbo
 
Tayari mko nje ya game we mwaka 2017 unatumia sim ya 2010 kaa pembeni apple wanakupa matumiz ya ios kwa miaka 4 sasa we 2017 ishapita miaka7 tupa hyo sim
wewe binti umenivunja mbavu sana unapomwambia mwenzio atupe simu yake hahahahahahah
 
Wakuu habari naomba kujuzwa bei ya iphone 6used iliykatikahali nzuri na pia je nimewahi tumia iphone 5s tu .je hii iphone 6 ni kubwa kuliko 5s kwa upanana size ya kioo ?Na pia inapata update iliypo sasa hivi

Haya fasta tafuta laki 7 na nusu upewe sim ya Gold
 
18 Reactions
Reply
Back
Top Bottom