iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

Nahisi ni Ngumu hata dealers wenyewe mi nilishawahi kumtengea 600,000 anitolee akaniambia haiwezekani. Japo tunatengeneza na kutoa Ushauri juu ya hizi simu.

Wat I blv nthng posbl under the sun, wapo wanaoweza kufungua
Ingawa ni pata potea,
 
Msada, tecno P6, nime root kwa kingroot. Nimeweka pollipop launcher lkn ina ganda ganda sanaa. Unaweza gusa contact, ikachelewaaa ...
 
Mie ninayo 4s ambayo imekatika mkanda wake wa battery naweza kupata battery yake na ni shiling ngapi
 
Na siku nitakayosikia iDevices zimeanza kuchakachuriwa kirahisi nitawapa mkono wa bye bye Apple

Hahahhaha, wapo wanaofungua, ingawa majamaa wabishi, kubali kataa kilicjoumbwa na binadamu kinatatiliwa na bina damu, watu wana hark WB sembuse apple
 
Msada, tecno P6, nime root kwa kingroot. Nimeweka pollipop launcher lkn ina ganda ganda sanaa. Unaweza gusa contact, ikachelewaaa ...
We nae umepotea hapa, huu uzi haukuhusu, hapa tunazungumzia iDevices tu
 
Mkuu haya ya ushoga waachie wenyewe maana ukifuatilia ya wazungu utajikuta hutumii hata kitu kimoja wanachotengeneza

Nahisi ulimwelewa vibaya.... Nilivyo mwelewa mkuu hapo juu.... " ila wananiuzi na huo ushoga wao...." alikuwa ana maaana icloud mkuu.....
 
Back
Top Bottom