🧠 Intuition vs Reasoning: Ipi Inapaswa Kuongoza?

Bro unataka kusema sisi wanawake hatuwezi kutumia reasoning?
Mara zote tunatumia intuition?
Ki vipi?
Mara chache tunatumia reasoning, chache sana na sio nature yetu....sisi ni watu wa emotions, bro emotions na reasoning sio ndugu.

Ila intuition huwa ina nguvu na haidanganyi ubaya tu ni mtu hawezi kukuelewa kupitia intuition, ila haidanganyi mara nyingi
 
Huyo mtu siwezi kumfikia lakini tayari nishapuuza..!! Acha tuone likitokea nitakupa majibu..!!
Kuna swali pia hua najiuliza sana
Hivi hakuna nguvu au namna ya kuzuia vitu kama hivyo mtu unavyoviona mapema visitokee!
 
Asante mkuu mi nilidhani labda tuvitumie vyote kwa pamoja
 
Hebu ngoja kwanza hayo majani vipi 😅🙌🏼 sijawahi kabisa

Shukran kwa maoni mkuu🙏🙏
 
Kwani sauti ya ndani inatoka wapi,utajikuta hata sauti ya ndani inatokana na uzoefu wako na mitazamo yako juu ya masuala tofauti tofauti.

Imagination is powerfull than knowledge.
Imagination =intuitions
Knowledge =reasoning
No not true imagination sio intuition

Imagination ni mawazo ya picha/uwezo wa kuunda au kufikiria kitu vile unavo taka iwe.

Mfano Unajifikiria ukiwa CEO wa kampuni yako miaka 10 ijayo.

Intuition hisia ya ndani/inayokuja moja kwa moja kwamba jambo fulani ni sahihi, si sahihi, salama au hatari.

Mfano Unakutana na mtu na unahisi tu, Kuna kitu hakiko sawa hapa, ingawa huwezi kueleza mara moja kwa nini.
 
Ooh Shukran sana 🙏🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…