Swali zuri sana mkuu, Natamani nielezee kwa urefu but unfortunately mimi ni mvivu kuandika na kuongea sana.Shukran mkuu
Sasa ni kwa namna gani ya kuvitumia pamoja bila kumoja kuzidi pengine na kuharibu mpango mzima?
Huwezi kuignore intuition. By reasoning maana yake tunarefer emotions ili tufanye maamuzi.Asante sana mkuu
Na ndio maana na mimi nikasema
Intuition pekee haiwezi kua sahihi kwa sababu sio kila sauti inakua nzuri zingine ni negative so bila kutumia reasoning unajikuta umekosea
Kwahiyo naunga mkono reasoning sawa lakini bila kupuuza intuition
Hivi vitu vikiwa pamoja ndio mtu hupata matokeo bora zaidi
Huo uhakika unaupataje? Bila shaka uhakika unaupata baada ya kufanya reasoning.Hii ni defensive mechanism ili kuepusha kufanya maamuzi yasiyo sahihi kwa kushindwa kuelewa reality ya hakika.
Ila kama unauhakika ni kweli hiyo ni sauti ya ndani ifuate, hiyo na ndio kitu pekee ambayo huwa inaleta utofauti kati ya wasomi na wale ambao hawana elimu kivile.
Ni rahisi sana kwa mtu ambae hana elimu kubwa kufanikiwa kwenye maisha kuliko mwenye elimu sana.
😅😅😅Kuchoma nyumba moto tena? Intuition gani za hivyo? Hiko kitakua ni kichaa mkuu.Huwezi kuignore intuition. By reasoning maana yake tunarefer emotions ili tufanye maamuzi.
Hisia zinasema nahisi tufanye kitu fulani, akili inasema hiki kinafaha au hakifahi katika namna gani...
Huo uhakika unaupataje? Bila shaka uhakika unaupata baada ya kufanya reasoning.
Mtu ambaye hana elimu kivipi!
Kinachofanya kazi ni akili + maarifa + ujuzi,, hivyo watu wanavyo hata bila kwenda chuo au shule za kawaida.
Kwahiyo mimi intuition yangu ikinielekeza niamuke asubuhi nichome nyumba za watu moto kwa sababu zitokanazo na hisia zangu za ndani. Niifuate?
Intuition ikinielekeza nichome mtu kisu niifuate?
Usipuuze mwenzio asije akakufa.Mimi nikiipuuza Jambo baya linatokea, na kama sasa hivi nimepuuza kitu naogopa sijui nini kitatokea kwa huyo mtu…!! 😥
sio mara zote ni sahih ila kizuri ni kutumia zote intuition na reasoning ndo zinaleta matokeo boraWale ambao intuition zao zinawatuma wakajiue au kujinyonga kwa sababu maisha ni magumu, unaona intuition ni bora kuliko reasoning?
Hata reasoning peke yake inaleta matokeo bora.sio mara zote ni sahih ila kizuri ni kutumia zote intuition na reasoning ndo zinaleta matokeo bora
Situmii ndio.Kwa maana hiyo ukiwa na reasoning
Huna haja sana na intuition yako
Kwa sababu reasoning inaziba mapengo
Mkuu wewe hutumii sana intuition yako?
reasoning is a best inategemeana na muda uliopo wa kufanya maamuzi. Kuna maamuzi mengine ukisema utumie reasoning unakuwa huna muda inabidi tu utumie intuition.Hata reasoning peke yake inaleta matokeo bora.
Kwa sababu reasoning inahakiki ukweli uko wapi.
Intuition inahisi tu, hata kama ni uongo yenyewe sawa tu.
Kwa hiyo, still reasoning ndio best.
Kutumia intuition au reasoning ni uhuru wako.reasoning is a best inategemeana na muda uliopo wa kufanya maamuzi. Kuna maamuzi mengine ukisema utumie reasoning unakuwa huna muda inabidi tu utumie intuition.
Ok.😅😅😅Kuchoma nyumba moto tena? Intuition gani za hivyo? Hiko kitakua ni kichaa mkuu.
Always intuition ni hakika, nature inajaribu kukuongoza as inavyofanya always.
Hamna maarifa kwenye mafanikio ndio maana watu wanatofautiana maarifa ila hakuna gape ya kufanikiwa kulingana na uwingi wa maarifa uliopo ndani ya mtu.
Kujua intuition na feelings ni kujisoma mwenyewe, kama ulivyoweza kusoma patterns za Dunia na ukawa unaelewa miezi na sifa zake hata wewe pia uko hivyo hivyo.