KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 36,529
- 89,055
Mimi ni kenzy 😅Kumbe wewe pia ni introvert?
Mimi ni kenzy 😅Kumbe wewe pia ni introvert?
Ahahah upo kundi gani ssnina tabia hizo pia, but i don't consider my self an introvert!
mimi nipo kote kote. Nadhani ndio tunaitwa ambivert kama sijakosea. Kuna watu watakuambia mimi ni mkimya sana then kesho wengine wakakuambia mimi mtu wa maneno mengi. Kuna muda najitenga na kukaa peke yangu, na kuna muda ni full kujichanganya!Ahahah upo kundi gani ss
No kenzy for penziKenzy the introvert.
No kenzy for penzi
Tenzi for kenzy
Bisha nikuchape kwenzi😂😉
Sio mimi ni wewe ndo mkali wa mashairi kenzy still kenzy!😄😄😄😄😄 naona ulikuwa mtabe wa mashairi enzi zako darasa la saba D.
Hapa si kuna hatari mkazaa bubu?Introvert wanatakiwa wawapate introverts wenzao vinginevyo wataishia kuwaumiza wale ambao sio introverts.
Mkuu yani hapa unanisema mimi kabisaa!Hii hali inanitesa sana kwakweli!Kujichanganya na watu napo naona shida na hata nikijichanganya najikuta nakaa kimya siwezi kuzungumza!Hivi dawa ya kupona tatizo ni ipi?Wakitaka kuanza mahusiano inawawia vigumu sana kuchukua hatua ya kwanza hasa kwenye kutongoza ni midomo zege!,Ni watu wenye hofu kuichukua hatua yoyote ile bila kuona usahihi wa yeye kuichukua hatua husika! Ni logics people so kufikia maamuzi kitu kimepangwa kikapangika!.
Wanakuwa disappointed ama wao wenyewe au watu waliomzunguka kutokana na ugumu walionaokuichukua hatua hiyo wengine huwaona kama si binadamu aliekamilika so husemwa vibaya sometime na yakimfikia hujisikia hovyo na huenda akaacha jambo husika.
Tabia pia za mhusika huenda zikamkwaza asichukue hatua ya kuamua kuingia kwenye mahusiano!
Let's say yeye ni mpole ila anatokea kumpenda mtu mwenye gubu,kukurukakara aisee hawapendi hivi.. wao wanapenda utulivu na maelewano.
Kutokuwa karibu na watu huwaleteleza kuwa na aibu,kutokujiamini mbele ya watu hasa jinsia iliyotofauti nae so hayo yanaweza mpatia ugumu ktk kutongoza n.k
Mkuu moja ya usuruhishi wa tatizo ni kulitambua tatizo introvert husubiri mahusiano ila pindi yafikapo huruka mbali😅
Akiweza tambua kuwa ili kupata ushirikiano na watu na kujiongezea kujiamini ni lazima ashiriki na watu hili litamfanya awazoee watu,maana kwanza introvert wana akili nyepesi ya kutambua na pia inaweza mrahisishia kupata mwenza humohumo kutokana na mazoea n.k
Nadedaga Lolo😂😅
Sio mimi ni wewe ndo mkali wa mashairi kenzy still kenzy!
Mi nadhani huyo jamaa hapo juu Ndio haelewi, sisi introverts kwenye mitandao ya kijamii Ndio Hassa mahala petu kwa sababu hatuna muda wa kujitokeza kwenye vijiwe ama bars kupiga stories, mi binafsi hata kama nikiamua kutoka tena kwa kujilazimisha sana nikifika bar ama club sitaki kushirikiana na mtu yoyote, ni kutulia tu sehemu na mwisho wa siku nitatoka pale kwa majuto ya kwa nini nilienda mahala pale, masikio wiki nzima yanalia kengele kwa zogo la muziki. Huwaga ninajuta sanaWewe ndio hujui,ku socialize kwa live ndo huwa tabu,mitandao ya kijamii ni mizuri sana kwa intros,hujasikia hapo kwenye kuandika watu wako vizuri lakini kwenye public ndio tatizo?
You too sweet darling 😉Sawa Kenzy gd night.
Mkuu ishi uwezavyo ishi ujisikiavyo si lazima sana kujichanganya kama huwezi.. maana kwenye kujichanganya pia kuna hasara zake na faida pia hivyo uwe tayari kukabiliana!.Mkuu yani hapa unanisema mimi kabisaa!Hii hali inanitesa sana kwakweli!Kujichanganya na watu napo naona shida na hata nikijichanganya najikuta nakaa kimya siwezi kuzungumza!Hivi dawa ya kupona tatizo ni ipi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi ni kenzy [emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Hapa si kuna hatari mkazaa bubu?
Hivi wewe Shwaini ulishaniona mimi ni Joti sio?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Davet huyu jamaa alishakupiga bao
Sent using Jamii Forums mobile app
Unacheka jina au..??