Sasa kama huyu niliye nae mpaka outing sehemu gani twende anapanga mpaka cha kuvaa na kula mi nitatoa hela tu yaani mimi ni mpenzi mtazamaji na ananijua napenda nin na nikichukia anajua so ni anajiongeza sana coz kuna muda nakuwaga kimya sijisikii kuongea na mtu atakuja atakaa anakuangalia tu mpaka utakapoona kama unamtesa hivi ndo unamwongelesha kidogo na kumtania hapo ndo umefungulia maongezi

ila introverts kuachika ni nje nje coz mawasiliano ni hafifu waweza msalimia mpenzi afu ndo ukaishia hapo baada ya salama mpaka kesho so unaonekana ka hueleweki hivi au haujali au uko selfish sana