excel
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 22,434
- 17,862
mimi ni mfadhili tuuu... nimewaomba listi ya members hamtaki kutoa!
what kind of joint venture is this?
where do you keep documents??
huyo Excel hawezi kuwa mfadhili ana jeuri sana.
kwa sababu sina cha ku-confessHataki kukonfes!
Excel huu ubazazi wewe ni wakurithi au umo ndani ya damu? Mbona mmebaki wachache huko ubazazini?mimi ni mfadhili tuuu... nimewaomba listi ya members hamtaki kutoa!
what kind of joint venture is this?
where do you keep documents??
Ungejua kuwa baba paroko anavyoaminika hapa kwa mazuri yake wala usingejisumbua kusema hayo
Hebu tulia kijana!
paroko usijali... mkombozi wa timu kafika... whether you like or not!!! lazima niwasaidie!!!
hivi Mr Rocky na ndugu Ntuzu.. kuna kosa gani endapo timu hii ikipata mfadhili tu mzuri ambae ataiwezesha timu kuwa strong?
hamuoni kwamba ntakuwa wa manufaa sana kwenu?
nimeomba organization structure... mpaka sasa naona kimya tu![/QUOTE
Mkuu Excel wenye organizationstructure ni #teambazazi sisi tunaishi kindugu hatuhitaji kuwa na mwenyekiti sijui katibu wala nini
Wapo waanzilishi wanaofahamika na tunawapa heshima yao tuu ila wote ni ndugu hakuna mwenyecheo anayepaswa kuheshimiwa sana wala mdogo au asiyepaswa kuheshimiwa au wakupokeaamri tuu
cc Mndengereko, utafiti, Tized na Ntuzu
kweli mkuu mwambie atuliie huyo sis ni founder tu ila mengine yote tupo sawa wanachma wote tuna role sawa hatuna cha senior wala nini we are all the same.katika kila kitu.
kijana kweli uko kwenye foolish age!
mwanzilishi wako Mndengereko bado unamuita bazazi? ushapewa registration number wewe?
Mr Rocky, Ntuzu na Karucee.. hebu nipeni financial conditions za hii firm yenu.. naweza kuwasaidia!!!
Mkombozi wa timu ipi mkuu?