utafiti
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 12,783
- 7,671
nashukuru kwa kutufahamisha
sasa ile kadi yangu ya jana ya ubalozi wa teamrafiiki nani anayo
kwani jana hamkunipa
Kwanza umeanza kuhamasisha #TEAMRAFIKI huko uliko?
nashukuru kwa kutufahamisha
sasa ile kadi yangu ya jana ya ubalozi wa teamrafiiki nani anayo
kwani jana hamkunipa
mkuu hyo kadi hata rangi siijui hua napita pita tu pale kwenye ofisi zao ila sijawah kuingia na kadi sina.J.lee kitu tunachokiangalia kwanza ni kuhakikisha huna kadi ya #TEAMBAZAZI , unaweza kutuhakikishia hilo?
Hahahaa. lol. Usinisingizie mie. Nime like manake nimeshangaa huu utundu umeanza lini? Ama umesahau tumetoka mbali?
aisee!! Mndengereko nomaaaaa!! katiba yenu inasemaje lakini kuhusu kujisepesha bila ridhaa?
alikuwa kiongozi ndani ya chama chenu mbona hutaki kukubali hilo mkuu mentor tafadhali njoo umthibitishie huyu bwana mkubwa hapa kwamba wewe na yeyee sasa hivi hampiki chungu kimoja tena.
Excel na mwekundu hizi ni hujma dhidi ya umoja wetu, kama mnataka kua wanachama bado nafasi mnayo #TEAMRAFIKI inaamini Mndengereko ni nguzo umoja wetu
Excel na mwekundu hizi ni hujma dhidi ya umoja wetu, kama mnataka kua wanachama bado nafasi mnayo #TEAMRAFIKI inaamini Mndengereko ni nguzo umoja wetu
mkuu hyo kadi hata rangi siijui hua napita pita tu pale kwenye ofisi zao ila sijawah kuingia na kadi sina.
Mkuu utafiti Huyo bwana Shemeji Excel asikusumbue! Akileta zake tunamnyang'anya miss neddy na kumpa mtu mwingine!
[/COLOR]
#teambazazi utawajua kwa matendo yao one of the principle cc Mr Rocky utafiti sungura1980 mwallu huyo ndo ushawashi wa FOUNDER WENU Mndengereko You have to question s many times Bcc miss chagga
asante sana mkuu #Teamrafiki hoyeeeeee.Karibu sana [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=Teamrafiki]#Teamrafiki [/URL] tunaomba uitendee wema katiba yetu Cc Mndengereko
mm nikiwa balozi wa chama hichi cha team rafiki nisingependa huyu mkuu mentor
awepo katika chama chetu kwani ataleta tabia za kule alikotoka na kuharibu wafuasi wetu hapa
mi sina neno na nyie aisee! kama tim yenu imekamilika freshi.. tuanze mzunguko wa ligi kabisa! atakaeshushwa daraja, tutamuona humu humu...
Mkuu utafiti Huyo bwana Shemeji Excel asikusumbue! Akileta zake tunamnyang'anya miss neddy na kumpa mtu mwingine!
asante sana mkuu #Teamrafiki hoyeeeeee.