Mashaxizo
JF-Expert Member
- Jun 13, 2013
- 6,707
- 3,355
Aaka Mndengereko hiyo ni ya Excel pele yake na ubazi wake!
Last edited by a moderator:
hujitambui uko wapi?
Mkuu wafadhili wanakaribishwa kama sehemu ya marafiki, Unataka kufadhili nini labda Mkuu? tuanzie tu hapo.
CC Mr Rocky, Ntunzu Mndengereko na #TR wote
Worryout Ntuzu, nimekubali bhana!
Pamoja sana!
Mr Rocky Mashaxiyo kashatubu! Redi cadi iende kwa Excel tu!
mbona wenzio wote wanagoma? mm nasema i must give grants for your survival!
show me your financial books ili nione wapi nianzie!
siwezi kumwaga pesa tuuuuu halafu nisijue wapi zimeenda! you must be mathematical people! msianzishe mkusanyiko wa watu usiokuwa na manufaa!! Mndengereko, Ntuzu, Karucee, Mr Rocky... note this arguement!
it worthes billion dollars!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Aaka Mndengereko hiyo ni ya Excel pele yake na ubazi wake!
tushakwambia chama chetu kinaenda kindugu zaidi hatuhitaji financia suport yako
Excel, umeniganda sana. Naomba nikupeleke chamber mara moja cha fasta!
miss neddy bora Umekuja!
na kwako pia huna adabu unasingizia watu na kuongea mambo ambayo hujayafanyia uchunguzi
Hahahahha. Nimeipenda avatar yako. Imekaa ki mipasho mipasho.
Mndengereko na utafiti sasa nyie mimi mnaniona ni memba wa lilekundi la akina KakaKiiza na mwekundu au Asprini?