Introducing teamrafiki

Introducing teamrafiki

Last edited by a moderator:
Ladies and gentleman napenda kuchukua nafasi hii nikiwa kama co-founder wa #team RAFIKI nikiambatana na mwenzangu utafiti kuwatambulishia rasmi(official announcement) ya #team RAFIKI

#team RAFIKI ni nini?(origin ya #team RAFIKI ) .#team RAFIKI ni matokeo ya uhitaji wa timu ya marafiki wanaoshauriana na kupeana mikakati mbalimbali inayodumisha amani,upendo na maadili hapa jamhuri ya MMU na cc(chit chat) so lengo la kuanzishwa kwake ni kupeana ushauri katika mambo mbambaliya kimaisha pamoja na kuongeza urafiki wetu members wa jamiiforums cause tunaamini jf ni means tu ya kukutana lakini urafiki wa kweli upo au unatokea mahali popote.

Nani anaweza kuwa #team RAFIKI ??
Kwa ufupi kila mtu anaweza kuwa #team RAFIKI coz lengo kuu ni kudumisha urafiki wetu and nothing else so far kuna senior member na junior members wa #team rafiki nitawataja kwa ujumla wao bila ya ku classify yupi yupi ni yupi ukiacha co—founder Mndengereko na bw. utafitti member wengine ni miss chagga mwallu Ntuzu Mr Rocky Ntuzu Mokoyo miss nedy Mentor Heaven on Earth @ Tized kukucd Lady niece Sungura 1980
(kama kuna mwingine nimemsahau naomba kukumbushwa tafadhali)

updates: newest member: Hilary mkony @gwiji mimi J.lee atug HHHK Dinazarde


So nyooooooote mnakaribishwa katika #team RAFIKI .
Pia ukiwa na swali au lolote la kuchangia unakaribishwa katika uzi huu pia kama kuna chochote ambacho nitakuwa nimekisahau members wenzangu watanisaidia kurekebisha au kuongeze,naomba kuwasilisha

CC : Nicas Mtei , mwekundu



Naomba kusajiliwa mndengereko
 
hivi Excel mnamchukuliaje kiujumla toka muanze kumfahamu!

naombeni maoni yenu wadau...

angalau watu 20 nipate sample!

how am I?
 
Last edited by a moderator:
Tupo pamoko!
Ngoja tuanze kuwafurusha mabazazi kwenye team yetu, wasije wakaharibu!
...
Mndengereko usipoconfes kama ulikua bazazi, utahama uenyekiti!

hahaha wewe unalako jambo,si bure.
how many times do i have to tell you sikuwahi kuwepo #teambazazi ??
 
my hear is aching my friend.. i think i didnt answer well to sis mwallu..

please mwallu wherever you are.. iam sorry for evrything...

mwallu waweza ridhia hii tafadhali?

Ebu mpe nafasi
 
Last edited by a moderator:
Tupo pamoko!
Ngoja tuanze kuwafurusha mabazazi kwenye team yetu, wasije wakaharibu!
...
Mndengereko usipoconfes kama ulikua bazazi, utahama uenyekiti!

Yaliyopita si ndwele babu weye wa jango!

Nilisema tangu mwanzo kwamba he wasnt one of #TB na nimefurahi kweli its clear!!
 
"why not startup"=> "buzz~hookup~group" umoja wa kupeana idea za kibiashara na ujasiriamali kwa vitendo vya dhati kwa minajili ya kutoka kikwelikweli
 
Back
Top Bottom