Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,306
- 3,413
- Thread starter
- #281
mkuu hata wewe tusaidie tu baadhi ya kazi maombi ya wanachama wapya yamekuwa mengi sana.
kuna introduction ya #teamrafiki rejelea maelezo ya kwenye thread utapata kujua kila kitu. and whats going on..
niwie radhi mkuu ,nilighafirika ndo narudi reverse sasa so jiandae tunakuja kukuchukua.
Mashaxizo mbona unaniweka kwenye team ambayo sihusiki bana mi team yangu ni #teamrafiki
Mkuu umepewa uanachama kwenye #teamRafiki moja kwa moja!
hahaha wewe unalako jambo,si bure.
how many times do i have to tell you sikuwahi kuwepo #teambazazi ??
bado hatujathibitisha kwamba tutakuwa tunawasaidia watu waliopo mlengwa wa kati ama la,so usifurahi saaaana.good for you dude.. iam in the non alignment movement... i can get help from anywhere! lol!
Yaaaaani leo pasingekucha bila kupandisha mori Mr Rocky how do you enjoy the ride in my absence!!!!!!
Analeta ubazazi kwenye #TeamRafikiHuyo mang'aa anakufanya nini?
Hakuna cha 'NAM fan' wala nini, wewe ni bazazi! Usepe mwenyewe kwenye team yetu (#teamrafiki ) kabla sjangulia mbwa!
ndo maana yake ume disqualify
bado hatujathibitisha kwamba tutakuwa tunawasaidia watu waliopo mlengwa wa kati ama la,so usifurahi saaaana.
we dogo mbona una kiherehere hivyo! kusajiliwa kwenyewe bado... fomu hata kuprintiwa bado!
mbona unachonga saaaaana! lol! i bet, you will be the reason for the fall... eenh!
aikupe shida wewe na ndugu yako Mashaxizo wote hamjasajiliwa hata uanacahama wa muda wa #teamrafiki na wala atuitambui NAM ni kitu gni so asikupe shida.