Intelijensia TISS ni walinzi binafsi wa Rais?

Intelijensia TISS ni walinzi binafsi wa Rais?

MKUU KUHUSU PSU BADO SIJAFAHAMU WANAFANYAJE KAZI UPANDE WA PILI NA AMRI NI NANI ANAYETOA.

ILA NINACHOJUA NDANI YA KIKOSI MAALUMU KIPO CHINI OFISI YA RAISI LAKINI WALE WANAOMLINDA RAISI NI ASKARI TOKA JESHINI.

NA NDIO KILE KIKOSI KINACHOMTII RAISI
Mkuu hapa umeniacha na maswali kama sio swali, unamaana gani kusema na NDIO KIKOSI KINACHOMTII RAIS ! ina maana kuna vingine havimtii?
 
chizcom ,
Mkuu
Hivyo ni vitengo vinavyofahamika Sana ila USA wana vitengo kama 17 vya mambo ya National Security and Intelligency Agencies ambapo watu wengi wanafahamu hizo units tatu hasa ulizozitaja.
Vitaje mkuu taarabu fake hazina nafasi
 
TISS ni Watanzania wenye Uzalendo na Taifa lao! Ni wewe na mimi bila kujali kama tumeajiriwa katika TISS kwa sababu bila wewe na mimi TISS haiwezi kufikia malengo ya kuanzishwa na kuwepo kwake! Yaani TISS inatutegemea sisi katika kufanya kazi. It need to be fed with Intelligence from us....
Nakuona mmoja wao
 
Mada nzuri,kila nchi ina mfumo wake wa kiulinzi ila utendaji wake unategemea na katiba ya nchi husika na political will ya viongozi waliopo madarakani,ukiangalia nchi nyingi za Ulaya magharibi pamoja na US,Canada idara hii inajitegemea ,haiingiliwi mno na viongozi wa kisiasa na ipo kulinda nchi na katiba yake ila hali ni tofauti hapa Africa hii idara ni kama sehemu ya watawala walioko madarakani ambao wanaitumia kunyamazisha yeyote aliyetofauti kiitikadi(Tanzania tupo kwenye kundi hili hii ni majadiliano for another day)kipindi wakati nchi yetu ina ADABU jina la TISS ilikuwa siri mno na utendaji wake wa kazi ulikuwa super hii idara haikuhusishwa na kashfa yeyote kama ilivyo sasa,na awamu ya kwanza watu tuliishi kwa hofu ya Tiss(ingawa hakuna mifano ya watu kupotea au kuteswa au kuuwawa)now TISS hata kwenye vijiwe vya komoni ni talking point na ukisikiliza nyingi ni negative ones
 
Ningependa nijue enrolment age ya Taasisi hii imekaaje? Je ni kweli hawa watu hupikwa kuanzia milk age? Au hata ukiwa kijana Mkubwa ,Mzee n.k unaweza ukawa enrolled na kuwa Mwana TISS?
 
  • Thanks
Reactions: SDG
TISS chama cha Ung'oaji kucha na meno kwa plaizi
 
Yupo mmoja huku kitaani kwetu ni mkimya haongeagi sana. ila akisha bugia lager 3 tu balaa tumeyajua mengi yahusuyo tiss kupitia huyu jamaa
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] pombe sio chai.haijawahi acha mtu salama.
 
Ulinzi wa Rais ni fivefold. Analindwa na vikosi vyote vya ulinzi na usalama na kila kikosi kina kamanda wake anayeripoti kwa rais.

Polisi. Wanajeshi (wa ardhini angani na majini) FFU Mgambo Raia TISS na Magereza wote wanamlinda rais.

Wanajeshi ndio top na ndio jamaa alikiwa anawasema.
[emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji15] [emoji15] [emoji102] [emoji102]
 
Mwanaume muoga mpaka unaogopa kutumia Jina lako
Mwanaume jasir wa maneno matendo kunguru

Mwanaume wa aina gani hivi tusimame hadharani hata wanaofanya wajue tumewachoka

Kuwa mwanaharakati afu ukawa muoga ni bora tusimame na maiti kuliko wewe

Itasaidia
Itatupa nguvu
Itatupa spirit ya kutimiza malengo
Tupate ujasir kudai haki tusimame hadharani

Angalau hata kwa kuanza kutumia full name illwanaharakati na wazalendo tujuane

Mwanaume muoga mpaka unaogopa kutumia Jina lako
Mwanaume jasir wa maneno matendo kunguru

Mwanaume wa aina gani hivi tusimame hadharani hata wanaofanya wajue tumewachoka

Kuwa mwanaharakati afu ukawa muoga ni bora tusimame na maiti kuliko wewe

Itasaidia
Itatupa nguvu
Itatupa spirit ya kutimiza malengo
Tupate ujasir kudai haki tusimame hadharani

Angalau hata kwa kuanza kutumia full name illwanaharakati na wazalendo tujuane
wewe mbona sio verified user?
 
Back
Top Bottom