Intelijensia TISS ni walinzi binafsi wa Rais?

Intelijensia TISS ni walinzi binafsi wa Rais?

Hao TISS ni wadogo kiitifaki dhidi ya raia wakakamavu police.Mara nyingi wadogo huwa hamuwapend wakubwa zenu kama police msivyowapenda wanaume
Mimi si miongoni mwa polisi mkuu.

Kama ni hivyo,mbona nawewe umeonyesha chuki kwa wadogo zako katika hii post,wakati maelezo yako ni" chuki inapanda kwa itifaki.

Mimi ninachojua polisi,hapendwi hata na mtoto wake.
 
Hahahaaaaaaa
 
NATAKA KUKUMBUSHA PIA WALE WANAOMLINDA RAISI AU WALINZI WA RAISI WALE SIO USALAMA WA TAIFA .

KILE KINAITWA NI KIKOSI MAALUMU CHA KUMLINDA RAISI NA OFISI YA RAISI WALE WOTE UNAOWAONA WAMEVAA SUTI WENGINE UNIFORM ZA KAKI WALE WOTE NI WANAJESHI AMBAO NDIO KIKOSI MAALUMU LAKINI SIO USALAMA WA TAIFA.
napingana na wewe kwa asilimia 10000,usiongee usilolijua,kwani wanaomlinda raisi ni kikosi maalum cha TISS,ambao wanakuwa wameiva kwenye nyanja zote za kiitelejensia kuanzia mapambano na hata skills,tofauti na wengne ambao wao wanakuwa wamebase katka fani moja
 
cha pili mleta mada mwenyewe ni shushushu,so take care with your tongue
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Wanakosaje humu wakati humu ni mkusanyiko wa watu wengi.tena uzi huu wao nahisi wanaongoza kusoma bila comment

Kwa vile umecomnent wewe si mmoja wao? Na kwa kutumia maneno yako wao wanatakiwa waongoze kusoma ila wasi comment na penginepo kucomment ni kwa amri.
 
Asante sana, heri umeyasema, kuwahusisha na wale wahuni, majambazi waliomdhuru MH. TL kwa kweli ilikuwa kuwatolea heshima yao na kuwadharau kufa..
 
Mkuu kuna neno sijalifahamu hapo umeandika TISS inamaanisha nini? kwenye mada husika? mi nimesoma uhasibu kuna fomu maalumu ya kusafirisha hundi kwenye makampuni kutoka kwenye taasisi ya biashara hiyo inaitwa TISS naona umechanganya madawa hapo mkuu
mjomba umetokea wapi kwani maana ulivyokurupuka au nia yako kututambi kua wewe ni muhasibu, maswala ya hundi na content ya mtoa mada wapi na wapi.
 
Kwa vile umecomnent wewe si mmoja wao? Na kwa kutumia maneno yako wao wanatakiwa waongoze kusoma ila wasi comment na penginepo kucomment ni kwa amri.
Hapana mkuu mm sipo huko kbs. Ila naju hapa JF hawatakosa aisee take it from me. We imagine tu CDF Mabeyo alipoteuliwa kuwa mkuu wa majeshi nikasikia akipewa pongezi hapa kumbe alikua member tena verified. Sasa nadhani kwa mfano huo utaelewa kuwa hapa wapo wengi.
 
Acha woga we kwani umeshikwa ugoni.Haya mambo yanayohusu nchi yetu ni vema tukayajadili kwa amani kabisa bila kejeli wala matusi ili tuelewe ni nani wanahakikisha sisi tunalala usingizi maana hiyo ndo kazi yao OVA
 
Upo sahihi mkuu. Kwani nimetusi mtu boss?na simejadili kwa nia mbaya? Nilikua najaribu tu kupanua wigo wa mjadala. Kuna wenzetu hapa umeona hata tips za hawa TISS ni nani wanafanya nini
 
Back
Top Bottom