Intelijensia TISS ni walinzi binafsi wa Rais?

Intelijensia TISS ni walinzi binafsi wa Rais?

KABLA YA YOTE UNATAKIWA UFAHAMU NI NINI MAANA YA USALAMA WA TAIFA.....

USALAMA WA TAIFA NI TASISI AMBAYO INASIMAMIA MFUMO WA KUILINDA SERIKALI NA NCHI DHIDI YA MACHAFUKO YA KISIASA, KIDINI,UKABILA,KIJESHI NA KIGAIDI.

NA KAZI KUBWA YA USALAMA WA TAIFA NI KUDHIBITI MATUKIO AMBAYO YANAYOWEZA KULIPELEKA TAIFA KATIKA MACHAFUKO AU MAPINDUZI.......

IDARA YA USALAMA WA TAIFA INAFANYA KAZI KUBWA YA KUKUSANYA NA KUUTAFUTA TAARIFA ZA KIINTELIGENSIA KISHA KUWA SUBMITTED OFISI YA RAISI NA UTAWALA BORA.

IDARA YA USALAMA WA TAIFA NI IDARA AMBAYO IPO CHINI OFISI YA RAISI AMBAYO INAFANYA KAZI PAMOJA NA

1.VIONGOZI WA DINI.

2.WANASIASA WA UPINZANI NA CHAMA TAWALA.

3.WAFANYA BIASHARA.

4.WATUMISHI WA UMMA

5.WATUMISHI WA SEKTA BINAFSI.

6.VIONGOZI WA KIMILA.
AU WA KIJADI.

7.VIONGOZI WA KISERIKALI.

8.NA WATU WA KAWAIDA

SASA KINACHOFANYIKA NI KWAMBA KUNA WATU WANAPEWA MAFUNZO VIZULI NA TAASISI WAKISHAMALIZA NDIO WANATUPWA AU WANAPELEKWA KUFANYA KAZI KATIKA.

TAASISI ZA UMMA,

TAASISI ZA KIDINI,

VYAMA VYA KISIASA.

WENGINE UNAWAKUTA NI WAFANYA BIASHARA.

WENGINE WANABAKIA WATU WA KAWAIDA MTAANI.

WENGINE WANAKUWA NA WANA MICHEZO NA WENGINE WANAMUZIKI

KINACHOFANYIKA WAO WANAJICHANGANYA NA WATU WA KAWAIDA TUU NA WANAFANYA KAZI NA NYINYI ILA WAO WANAKUWA NA LENGO LAO MAALUMU LAKINI NYINYI HAMUWEZI KUFAHAMU COZ MNAJIONA WOTE SAWA.
Umefafanua vizuri ila hujajibu swali
 
Wengi hapa naona mnaharisha na wengine kujifanya wajuaji.
de'levis njoo uokoee jahazi mkuu, vijana wa Jay Kei wanatapatapa hapa
 
U
Yes,I hate'em...wana ile hali ya kujiona wao ni exclusive..kwamba ni tabaka flani la juu la nchi...Hapo tu ndio wanaponifanya niwachukie.....

Halafu kwenye kujifanya wana akili zaidi ya kenge wengine wote.....Kwamba wao ni cream of the crop!
Ujue hata house girl/boy wa ikulu huwa anajiona ndio mkuu si tu wa mahause girl wote but wapishi wote
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Hahaha hahaha mkuu mimi bado na hangaika na bahasha yangu mkononi, sijawahi kuwa mtumishi wa serikali,
Sentensi zilizosalia tuna fanana pakubwa sana
Nadhani mwakani tutakutana tena hapa
Hahaha hahaha mbona umeshtuka kiongozi Wangu
 
labda tujadili muundo wa TISS, kwamba kuna idara moja inaiharibia tashwira nzima ya Tiss. lakini upuuzi wote unaoendelea nchii TISs wanahusika moja kwa moja

kuna idara ndani ya TTiss inahusika na siasa. Idara hii zamani ilikuwa chini ya Jack Zoka/Madafa kazi ya idara hii ni kukandamiza upinzani wa kisiasa dhidi raisi au chama tawala

1. aliyemtesa na kumuumiza ulimboka
Ighondu ni mwana kitengo
2.aliyemtishia nape bastola naye pia ni mwana kitengo
3.waliomshambulia lissu nao walitoka kitengo

kama taasisi nyeti inatuhumiwa kushiriki kuibia nchi, kwa kuchota mapesa kwa magunia kutoka bank ya stanbic hapo kuna tatizo,

ninachokiona majukumu ya taasisi yamehama kutoka kuwa usalama wa taifa na kuwa usalama wa genge LA majambazi wachache wanaog'ang'ania madaraka
genge LA wezi wa Lumumba ...sema hivyo mkuu ueleweke mubashara kabisa..
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikutane naye ili iwaje?nishamwambia aende wapi ili apate informations anazozitaka [emoji23][emoji23]
Kiroboto21 :'D
Kijana anataka one on one.. MPE introduction bwana. 😀
 
Umejaribu kuelezea sifa zao inaonekana unawafahamu.Ndio huwa hawana maslahi binafsi bali huwa na maslahi mapana na nchi yao...wazalendo waliojitolea kulinda nchi yao kwa namna ya kipekee.dats why mpk unapata mda wa kuandika uzi huu kazi yao inaendelea vzr kwa uwezo wa mungu.kuwa mzalendo shirikiana na vyombo vya usalama pale unapoona dalili za uvunjifu wa amani
 
Mbona tunasikia kuna kitengo ndani ya TISS kinaitwa Presidential Security unit PSU? Wanajeshi wanamlinda Rais???? je command inatokea wapi?

Zipo baadhi ya nchi ambapo rais hulindwa na wanajeshi mfano Rwanda n.k. Lakini sio kwa Tanzania
 
[emoji23][emoji23][emoji23]usije PM maana nina tabia ya kutojibu ujumbe Kaka
bhasi itakuwa nafuu yngu
maana isijekuwa nawewe nimvaaji wa Yale magwanda yenye mabaka mabaka...nikajileta pm kumbe wanilia tyming
 
TISS ni Watanzania wenye Uzalendo na Taifa lao! Ni wewe na mimi bila kujali kama tumeajiriwa katika TISS kwa sababu bila wewe na mimi TISS haiwezi kufikia malengo ya kuanzishwa na kuwepo kwake! Yaani TISS inatutegemea sisi katika kufanya kazi. It need to be fed with Intelligence from us....
 
Back
Top Bottom