Intelijensia TISS ni walinzi binafsi wa Rais?

MKUU NAPENDA KUKUFAHAMISHA YA KWAMBA KUNA MAMBO YA KUZUNGUMZA ON PUBLIC NA MENGINE INABIDI UNYAMAZE YASIJE YAKAKUWEKA MAHALA PABAYA

ILA UNACHOTAKIWA UFAHAMU SERIKALI INA SIRI NZITO SANA AMBAYO MIMI NA WEWE HATUWEZI KUFAHAMU.....

KUNA WATU TUMEKULA VIAPO VYA KULINDA NA KUTUNZA SIRI ZOTE ZA KISERIKALI HIVYO VITU VINGINE TUKISEMA TUHOJI SANA TUTAJIKUTA TUPO SEHEMU AMBAYO SIO KABISA
teh na wewe ni spy 😅😅😅😅😅
 
NATAKA KUKUMBUSHA PIA WALE WANAOMLINDA RAISI AU WALINZI WA RAISI WALE SIO USALAMA WA TAIFA .

KILE KINAITWA NI KIKOSI MAALUMU CHA KUMLINDA RAISI NA OFISI YA RAISI WALE WOTE UNAOWAONA WAMEVAA SUTI WENGINE UNIFORM ZA KAKI WALE WOTE NI WANAJESHI AMBAO NDIO KIKOSI MAALUMU LAKINI SIO USALAMA WA TAIFA.
Kama ni kikosi maalumu toka jeshin mbona mwingine aliondolewa akapelekwa TCRA kama mkuu wa manunuzi pale kwa nn hakurejea jeshini.
 
Na vile vitambi vyao wawe ni kikos maalum cha kumlinda Rais toka jeshini???
 
Kama ni kikosi maalumu toka jeshin mbona mwingine aliondolewa akapelekwa TCRA kama mkuu wa manunuzi pale kwa nn hakurejea jeshini.
Kwa hiyo wewe unaona yule alikuwa mzabuni??
 
NATAKA KUKUMBUSHA PIA WALE WANAOMLINDA RAISI AU WALINZI WA RAISI WALE SIO USALAMA WA TAIFA .

KILE KINAITWA NI KIKOSI MAALUMU CHA KUMLINDA RAISI NA OFISI YA RAISI WALE WOTE UNAOWAONA WAMEVAA SUTI WENGINE UNIFORM ZA KAKI WALE WOTE NI WANAJESHI AMBAO NDIO KIKOSI MAALUMU LAKINI SIO USALAMA WA TAIFA.
Mzee utafikiri upo ktk kijiwe cha kahawa...
 
Back
Top Bottom