Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,771
- 25,419
Siwapendi TISS people as people.....Ni pale they assume they are smarter than everybody else while in real sense they are just like the rest of us.
Hahahah unawachukia.Siwapendi TISS people as people.....Ni pale they assume they are smarter than everybody else while in real sense they are just like the rest of us.
Hahahah unawachukia.
Wamesha upata hata kama wewe ni mmoja kati yao take it from me
NATAKA KUKUMBUSHA PIA WALE WANAOMLINDA RAISI AU WALINZI WA RAISI WALE SIO USALAMA WA TAIFA .
KILE KINAITWA NI KIKOSI MAALUMU CHA KUMLINDA RAISI NA OFISI YA RAISI WALE WOTE UNAOWAONA WAMEVAA SUTI WENGINE UNIFORM ZA KAKI WALE WOTE NI WANAJESHI AMBAO NDIO KIKOSI MAALUMU LAKINI SIO USALAMA WA TAIFA.
Wewe ulikuwa hujui kama TISS wapo humu JF? Kwa taarifa yako wapo sana, tena wengi tu.Wanajichanganya!!! Kwa maana hiyo hata humu jf wapo na penginepo baadhi yao ni sehumu ya kututukana na kutukashifu humu.
Uko vzr sanaaa itabidi nikutafute unielekeze zaidi bcz mwenyew hii ki2 huwa inanichanganyaComment yako ya kwanza uliongea vizuri lakini hii umeharibu,kama hujui kitu ni bora kukaa kimya,kWa kukusaidia...,wale walinzi wavaa suti ni usalama Wa taifa kabisa na wanaweza kufanya kazi yoyote sema uwa wanachaguliwa kutokana na mafunzo,inakuwaga hivi,watu wanaenda kwenye mafunzo na wakishamaliza humo ndani ndo uchaguliwa,kundi la kwanza ni WALINZI,kundi la pili ni WAPELELEZI,hawa wote wamepitia mafunzo yote,sana sana wakishachaguliwa kama kWa mfano WALINZI kuna vikozi wanasomea tena kabla ya kuanza kazi,kwahiyo mpelelezi pia anaweza kufanya kazi ya ulinzi maana anajua kila kitu na hivyo hivyo pia mlinzi anaweza fanya kazi ya upelelezi,wanachaguliwaga na viongozi kutokana na mafunzo na kuna watu wanawafatilia na wanaangalia watu watakao wafaa,so siku nyIngine kama hujui kitu ni bora unyamaze.....,na wale wengine wenye magwanda Kama ya jeshi lakini siyo ya jeshi wengi wanakuwaga washamaliza mafunzo lakini bado wanatestiwa au naweza sema bado hawajapangiwa vituo aisee,kWa mfano pale kijitonyama,kuna walinzi mlangoni ambao wanavaa hivyo na ukiingia kushoto kuna kaofisi kakuajiandikisha jina na vitu vingine,wale walinzi uwa wanalala mle mle ndani maana kuna hostels tangu miaka ya 70
Ulianza vizuri ila kwenye kumalizia unataka kuvuruga,kikosi cha ulinzi wa rais(presidential protection unit PPU),ni kitengo kilicho ndani/chini ya TISS,na sio wanajeshi,na wengine wanavaa nguo kama za JWTZ ila zao ziko tofauti,mtaani wanaitwa MAKIRIKIRI,hawa ukipita ikulu utawaona nje na ndani ya ukuta wa ikulu,wote lengo ni kumlinda rais
Na wengi wao wanakaa/kuishi kijitonyama
Don't define the term "Work" the same as in physics as in civics.Mkuu kuna neno sijalifahamu hapo umeandika TISS inamaanisha nini? kwenye mada husika? mi nimesoma uhasibu kuna fomu maalumu ya kusafirisha hundi kwenye makampuni kutoka kwenye taasisi ya biashara hiyo inaitwa TISS naona umechanganya madawa hapo mkuu
Huu ni ukweli na nimeshuhudia.Nachojua mimi kWa uzoefu wangu,hao wanaojisifu sana na kujionyesha sana ni wengi wao ni vijana na wameingia kwenye IDARA kindugu,labda baba mdogo au baba naye yupo IDARANI,wengi wao wapo hivyo lakini pia kuna wengine tunawajua baba zao washawahi kuwa wakurugenz Wa IDARA hii takatifu lakini hawajisifii na hauwezi kuwajua mpaka usikie jina la mwisho aisee,kuna ndugu yangu namjua na yupo kwenye IDARA na baba yake alikuwa mkurugenzi Wa idara lakini yeye hajisikii na wala hanaga majivuno,hii ni ajabu kidogo kWa nchi yetu kWa watu ambao baba zao washashika nafasi nyeti na yeye kutojionyesha na kutojisikia,kwa kuongeza wazee walioingia zamani uwa wana hekima sana na adabu,wastaarabu sana,unaweza kukuta mzee ana vijimali vyake lakini hujishusha sana na hata hauwezi kujua kama ni mwana IDARA
Uko vzr sanaaa itabidi nikutafute unielekeze zaidi bcz mwenyew hii ki2 huwa inanichanganya
Wewe utakuwa askar polisiSiwapendi TISS people as people.....Ni pale they assume they are smarter than everybody else while in real sense they are just like the rest of us.
Wewe utakuwa askar polisi
[emoji106] [emoji106]Nachojua mimi kWa uzoefu wangu,hao wanaojisifu sana na kujionyesha sana ni wengi wao ni vijana na wameingia kwenye IDARA kindugu,labda baba mdogo au baba naye yupo IDARANI,wengi wao wapo hivyo lakini pia kuna wengine tunawajua baba zao washawahi kuwa wakurugenz Wa IDARA hii takatifu lakini hawajisifii na hauwezi kuwajua mpaka usikie jina la mwisho aisee,kuna ndugu yangu namjua na yupo kwenye IDARA na baba yake alikuwa mkurugenzi Wa idara lakini yeye hajisikii na wala hanaga majivuno,hii ni ajabu kidogo kWa nchi yetu kWa watu ambao baba zao washashika nafasi nyeti na yeye kutojionyesha na kutojisikia,kwa kuongeza wazee walioingia zamani uwa wana hekima sana na adabu,wastaarabu sana,unaweza kukuta mzee ana vijimali vyake lakini hujishusha sana na hata hauwezi kujua kama ni mwana IDARA
Siwapendi TISS people as people.....Ni pale they assume they are smarter than everybody else while in real sense they are just like the rest of us.