Intelijensia TISS ni walinzi binafsi wa Rais?

Intelijensia TISS ni walinzi binafsi wa Rais?

MKUU NAPENDA KUKUFAHAMISHA YA KWAMBA KUNA MAMBO YA KUZUNGUMZA ON PUBLIC NA MENGINE INABIDI UNYAMAZE YASIJE YAKAKUWEKA MAHALA PABAYA

ILA UNACHOTAKIWA UFAHAMU SERIKALI INA SIRI NZITO SANA AMBAYO MIMI NA WEWE HATUWEZI KUFAHAMU.....

KUNA WATU TUMEKULA VIAPO VYA KULINDA NA KUTUNZA SIRI ZOTE ZA KISERIKALI HIVYO VITU VINGINE TUKISEMA TUHOJI SANA TUTAJIKUTA TUPO SEHEMU AMBAYO SIO KABISA
"KUNA WATU TUMEKULA VIAPO" Who are you?????[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Wadau
Kumekuwa ni minong'ono mingi sana na fununu juu ya nafasi ya TISS na kazi zao.
Nakumbuka kabisa kuna watu huwa wanafanya mambo ya kipuuzi na kijitanabisha kama TISS.Binafsi sijawahi kutana na mtu wa TISS moja kwa moja lakini kwa wale ambao nimewahi kuhisi kuwa ni watu wa TISS kuna mambo fulani ambayo nimejifunza toka kwao:

  • Huwa ni watu watulivu wasio na makeke mengi
  • Huwa sio wasemaji sana ni watazamaji na wasikilizaji
  • Huwa sio watu wa kujikweza na huwa wanajua wanachokitafuta na mara nyingi kwao hutafuta vile visivykuwapo
  • Sio washabiki wa mambo na mara nyingi hanaga opinions
  • Kazi yao kubwa naonaga ni kutambua tishio na kulithibiti kabla ya madhara
Kumekuwa na tabia hapa nchini ya watu kuhusisha upuuzi wa kisiasa na maswala ya Jinai kama vile tukio la kushambuliwa kwa mheshimiwa LISU na watu wa Usalama.Sisemi kwamba sio wao ila kama ni wao nafikiri that was too low of them.

Niulize tu kwa wale wanojua kwa hakika hii Idara ya Usalama wa Taifa ni askari Binafsi wa Rais au ni Intelligence Officers kama ninavyoelewa mimi na ambao huwa hawana maslahi binafsi bali huwa na maslahi mapana ya Nchi?

Nikipata Jibu kabla ya Mwaka kuisha ITAPENDEZA ZAIDI
kadri Siku zinavyokwenda wanapoteza mvuto. kwa kubackup wanasiasa wenye uchu wa madaraka.
kama watu wanatekwa, wanauwawa, wanatishwa, hao TISs wana umuhimu gani? wanatakiwa kuzuia kabla tukio halijatokea.
lissu so alitoa taarifa kuwa k
una watu wanamfuatilia kwanini Hao TIss hawakutake action
 
Inzi huwa siyo rahisi kujulikana, akijulikana huruka haraka asipate madhara.
Hahaha huyu mzee wa mabaka baka ila anajua mission anazijua kawaida yake kuchora watu tu mfatilie nyuzi nyingi kuhusu wakubwa au ishu kama hizi
 
Humu wamo si swala la kujiuliza kwa sababu hili ni jukwaa huru kwa kila mtu. Ila hilo la kutukana na kukashifu kama lipo, litakua ni mtu binafsi kama ambavyo wewe unaweza kutukana au kukashifu.

Matusi na kashafa nyingine ni kama vile atoaye kasomea chuo flani ni matusi ya kusomea pahala. Niki jaribu kuangalia mitaala ya taasisi mbalimbali za elimu bado sijaona wanaotoa kozi za matusi na kashfa. Hapa tumeambiwa hawa mabwana nguvu yao iko katika usiri labda viko vyuo vya matusi, who knows.
 
Hata kiongozi wao ni kiongozi chini ya kivuli cha Rais.....sasa unadhani hapo watafanya kazi kwa mamlaka ya nani......?

[HASHTAG]#Atubu[/HASHTAG]
 
blogspot ,
Mkuu,

Duuuuuuh.

Kwa nini unaogopa hiyo idara maana ulivyo andika ni kama unajua jambo ila .... Andika mkuu.
Heshma kwako mkuu


Sifahamu kitu mkuu.Wataalamu wanasema no research no right to speak Hivyo mkuu sina tafiti zozote nipo kama wewe tu! Au na wewe ni tofauti na Mimi?
 
LET ME BE HONEST,KATIKA WATU SIJAWAHI KUWA NA POSITIVE MENTALITY NAO NI HAWA,YAANI HUWA NAHISI WAKO KWA AJILI YA WATU WACHACHE WENYE TITLE KUBWA KIUONGOZI,MARA CHACHE SANA HUWA NAWAONA WAKO KWA AJILI YA MASLAHI MAPANA YA TAIFA,NA NAHISI LAYMAN WENGI WANAWACHUKULIA HIVYO,MAANA UTASIKIA OOOH YULE USALAMA WA TAIFA,NA WACHACHE RAIA ILI AFANYE UHARIBIFU SEHEMU KWA URAHISI WENGI WANAPENDAGA KUJIFANYA USALAMA SIJUAGI NI KWA NINI,KUNA HAJA YA KITENGO HUSIKA KUTOA ELIMU KWA JAMII KUBWA YA WATANZANIA KUTUTOA HII MENTALITY KAMA KUPITIA HUU UZI WENGI TUTAELIMIKA
 
Jaribu kuwa serious inamaana content yote hiyo ya mleta mada amejieleza kuhusu intelijensia,usalama wa Taifa nk hujaelewa? Umesoma level gani wewe ushindwe kutofautisha TISS Tanzania intelligence and security services na Tanzania interbank yako ya biashara.
Mleta mada yuko sahihi na hilo neno sio geni hasa kwa mtu unaepita mitandaoni ndio neno hutumiwa.
Kumtolea povu mtu mwenye shida ya kujua ni udikteta uchwara. Unapaswa kutubu mkuu
 
Kumtolea povu mtu mwenye shida ya kujua ni udikteta uchwara. Unapaswa kutubu mkuu
Kama umefuatilia huyo jamaa amevuruga sana uzi huu mpaka kwa matusi,kwa ufupi hakutaka kujua ila kuvuruga lengo la thread,Maelezo ya mleta yako wazi yy akaleta mambo ya uhasibu.Hata mm ningejua hana lengo la kujua nisingemjibu nimemgundua late.
 
Wadau
Kumekuwa ni minong'ono mingi sana na fununu juu ya nafasi ya TISS na kazi zao.
Nakumbuka kabisa kuna watu huwa wanafanya mambo ya kipuuzi na kijitanabisha kama TISS.Binafsi sijawahi kutana na mtu wa TISS moja kwa moja lakini kwa wale ambao nimewahi kuhisi kuwa ni watu wa TISS kuna mambo fulani ambayo nimejifunza toka kwao:

  • Huwa ni watu watulivu wasio na makeke mengi
  • Huwa sio wasemaji sana ni watazamaji na wasikilizaji
  • Huwa sio watu wa kujikweza na huwa wanajua wanachokitafuta na mara nyingi kwao hutafuta vile visivykuwapo
  • Sio washabiki wa mambo na mara nyingi hanaga opinions
  • Kazi yao kubwa naonaga ni kutambua tishio na kulithibiti kabla ya madhara
Kumekuwa na tabia hapa nchini ya watu kuhusisha upuuzi wa kisiasa na maswala ya Jinai kama vile tukio la kushambuliwa kwa mheshimiwa LISU na watu wa Usalama.Sisemi kwamba sio wao ila kama ni wao nafikiri that was too low of them.

Niulize tu kwa wale wanojua kwa hakika hii Idara ya Usalama wa Taifa ni askari Binafsi wa Rais au ni Intelligence Officers kama ninavyoelewa mimi na ambao huwa hawana maslahi binafsi bali huwa na maslahi mapana ya Nchi?

Nikipata Jibu kabla ya Mwaka kuisha ITAPENDEZA ZAIDI
Yupo mmoja huku kitaani kwetu ni mkimya haongeagi sana. ila akisha bugia lager 3 tu balaa tumeyajua mengi yahusuyo tiss kupitia huyu jamaa
 
hahaaa mkuu hutaki kutafutwa...anataka akutafute iliiwe nini kama anatka kujua zaidi kuhusu hao TISSA CJUI KUMMI..aende kijitonyama pale atapewa info zote ..

Haaaaaaaa watu hatareeee sanaa haaa,tena aende pale mlangoni ajifanye anaenda Emilio Mzena Memorial Hospital kutibiwa,nafikiri itakuwa njia nyepesi kuingia ndani na kupata informations zote anazozitaka haaaaa
 
Ukisha kujua utapata nn meku, kama unakula ugali ukashiba hupashwi kujua lolote kuhusu watu wasio julikana
 
Back
Top Bottom